(Today) 55 minutes ago

BBCSwahili

Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa kumrithi Mugabe kama rais

Emmerson Mnangagwa ataapishwa leo, huku kukiwa na miito ya kumtaka amalize "utamaduni wa ufisadi''.

 

(Today) 4 hours ago

BBC

Zimbabwean's hopes and fears for the future

Momentous changes in Zimbabwe have left some asking: What next? What happens after Mugabe?

 

(Today) 4 hours ago

BBC

Zimbabwe after Mugabe: What happens next?

Singing and celebration spring from the belief that the worst is over, our Zimbabwe correspondent writes - but is change coming?

 

(Today) 6 hours ago

BBC

Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa to succeed Mugabe as president

Emmerson Mnangagwa is to be inaugurated, amid calls for an end to the "culture of corruption".

 

(Yesterday)

Malunde

MUGABE KUHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZIMBABWE MNANGAGWA

Robert Mugabe anatarajiwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kulingana na runinga ya habari ya taifa hilo ZBC .
Maandalizi yameanza katika uwanja wa kitaifa wa michezo katika mji mkuu wa Harare ambapo hafla hiyo itafanyika.
Mwandishi wa masuala ya kidiplomasia Judith Makwanya amesema kuwa kiongozi anayeondoka anatarajiwa kukagua gwaride akitoa kwa heri huku kiongozi mpya akilijulisha jeshi katika sherehe hiyo ya gwaride.
Tayari waziri wa Uingereza barani Afrika...

 

(Yesterday)

BBC

Zimbabwe after Mugabe: ‘We need fairness not corruption’

These young people have lived all their lives with Robert Mugabe as leader.

 

(Yesterday)

BBC

Zimbabwe needs immediate economic reforms, warns IMF

Government spending and foreign debt are too high and Zimbabwe needs structural reform, the IMF says.

 

(Yesterday)

Zanzibar 24

Kiongozi anaeapishwa Ijumaa Zimbabwe afunguka haya,

Kiongozi mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, ambaye anatarajia kuapishwa kushika wadhfa wa Urais wa nchi hiyo siku ya Ijumaa, amesema kipaumbele chake ni kujenga upya uchumi wa nchi hiyo na kuunda ajira mpya kwa idadi kubwa ya watu wasio na ajira.

Katika hotuba yake hiyo, aliyokolezwa na maneno yaliyokuwa yakitumika wakati wa vita vya uhuru wa nchi hiyo, Bwana Mnangagwa alilishukuru jeshi la nchi hiyo, ambalo liliingilia kati baada ya yeye kufukuzwa na Rais Robert Mugabe na kuweza...

 

(Yesterday)

BBCSwahili

Zimbabwe kushuhudia demokrasia mpya

Kiongozi mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema nchi yake kwa inashuhudia mwanzo wa demokrasia mpya.

 

(Yesterday)

Malunde

RAIS MTARAJIWA WA ZIMBABWE AWASILI MJINI HARARE

Rais mtarajiwa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amerudi nchini humo kutoka Afrika Kusini.
Anatarajiwa kutoa hotuba yake katika makao makuu ya chama cha Zanu-PF mjini Harare.
Awali Mnangagwa amekutana na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.
Bwana Zuma alitarajiwa kuwasili atika mji mkuu wa Harare leo ili kuwa mpatanishi wa mgogoro uliokuwa ukiendelea lakini akafutilia mbali zaiara hiyo baada ya rais Mugabe kujiuzulu.
Ofisi ya rais Zuma ilituma ujumbe wa Twitter wa picha za mkutano wao.

 

(Yesterday)

BBC

Zimbabwe: Mysteries remain about Mugabe's downfall

After a dramatic week in Zimbabwe, questions remain unanswered about Robert Mugabe's downfall.

 

1 day ago

VOASwahili

Mnangagwa arejea Zimbabwe

Aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, Jumatano jioni aliwahutubia wanachama wa ZANU-PF katika makao makuu ya chama hicho kwenye mji mkuu wa Harare na kusema kwamba atatoa hotuba rasmi siku ya Ijumaa, ambapo ataapishwa kama rais wa nchi hiyo.

 

1 day ago

BBC

Mnangagwa: We want to grow Zimbabwe economy

Zimbabwe's incoming leader Emmerson Mnangagwa tells supporters he wants to to boost the economy and create jobs.

 

2 days ago

BBCSwahili

Makamu wa rais wa Zimbabwe akataa kurudi nyumbani

Wakati Emmerson Mnangagwa alipofutwa kazi wiki mbili zilizopita hakuwa makamu wa rais wa pekee nchini Zimbabwe

 

2 days ago

BBC

Fergal Keane: Mugabe has gone, but will Zimbabwe change?

Zimbabweans are celebrating change, but is the old regime just getting a new face?

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani