8 months ago

Michuzi

RC MNDEME AIFUTIA LESENI KAMPUNI YA ZUMA CARGO KWA UPOTEVU WA TANI 15 ZA KOROSHO

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ameifutia leseni kampuni ya Zuma Cargo kwa upotevu wa tani 15  za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa jambo hilo.

 

9 months ago

BBCSwahili

Mchumba mpya wa Zuma alazimishwa kujiuzulu ajira yake

Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.

 

9 months ago

BBCSwahili

Kesi ya Zuma kusikilizwa tena mwezi june

Rais wa zamani wa Afrika Kusini anashtakiwa kwa kosa la rushwa inayohusishwa na mpango wa silaha wa mwaka 1990

 

10 months ago

VOASwahili

Kesi ya Zuma yaahirishwa

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amefika mahakamani Ijumaa ambako kulikuwa na umati mkubwa wa watu akiwa anakabiliwa na tuhuma ya kesi ya muda mrefu iliyosababisha hasira kwa wananchi na hatimaye kupelekea kuondolewa kwake madarakani.

 

10 months ago

BBC

Behind the arms deal that landed Zuma in court

How ex-President Jacob Zuma is allegedly implicated by a multi-billion dollar arms deal.

 

10 months ago

BBC

Pumza Fihlani: Zuma supporters sing to drown out corruption charges

Despite being charged with corruption, former South African President Jacob Zuma still has his loyal supporters.

 

10 months ago

Michuzi

ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma (75)amefikishwa katika Mahakama ya Durban  nchini South Afrika kujibu tuhuma za rushwa zinazomkabili ikiwemo mpango wa ununuzi wa silaha uliogharimu mabilioni ya fedha ikiwa ni wiki saba tangu kiongozi huyo ajiuzulu.
Zuma amefikishwa mahakamani leo ambapo anashtakiwa kwa makosa 16 ya rushwa.Pia anashtakiwa kwa tuhuma za kupokea malipo 783 ambayo yanatia mashaka.
Hata hivyo baada ya kusomwa kwa mashtaka hayo Zuma...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Kesi ya rushwa inayomkabili Jacob Zuma yapigwa kalenda

Kesi ya rushwa inayomkabili aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma imehairishwa mpaka Juni 8, 2018, itakaposomwa tena.

Jacob Zuma alifika mahakama kuu ya Durban leo asubuhi kusikiliza kesi yake ambayo ina mashtaka 16, yakiwemo ya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na utakatishaji wa fedha.

Wafuasi wa Zuma walijikusanya maeneo ya karibu ya mahakama hiyo huku wakiimba nyimbo za kumsifu, wakisema hawatamuacha mpaka mwisho, na wengine wakikikesha kumuombea.

Kesi hiyo dhidi ya Zuma ilishwahi...

 

10 months ago

BBC

Former SA President Zuma goes on trial for corruption

Jacob Zuma, who was forced from office in February, faces corruption charges over a 1990s arms deal.

 

10 months ago

VOASwahili

Zuma akabiliwa na kesi ya rushwa

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma atakabiliwa na kesi ya rushwa inayohusisha mkataba wa silaha wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 2.5 ambao ulisainiwa mwisho wa mwaka 1990, amesema mwendesha mashtaka mkuu Shaun Abrahams,  Ijumaa.

 

10 months ago

BBCSwahili

Jacob Zuma akabiliwa na mashtaka ya rushwa

Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepatikana na mashtaka 16 ya rushwa inayohusishwa na mamilioni ya dola yaliotumika katika mpango wa silaha

 

11 months ago

BBCSwahili

Jacob Zuma ni Rais wa aina yake na mwenye utata kuwahi kutokea Afrika Kusini

Jacob Zuma ni Rais wa aina yake na mwenye utata kuwahi kutokea Afrika Kusini baada ya utawala wa weupe mwaka 1994.

 

11 months ago

BBC

Zuma's fall a chance to take moral leadership

The BBC's Fergal Keane on a moment of hope in South Africa - a nation that both infuriates and inspires.

 

11 months ago

Michuzi

Hatimaye Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aachia ngazi

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake. Kapitia hotuba yake iliyopeperushwa kwa njia ya televisheni alisema anajiuzulu mara moja lakini akaongeza kuwa hakubaliani na uamuzi wa chama cha ANC.Chama cha ANC kilikuwa kimemuambia aondoke madarakani au akabiliwe na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.Zuma mwenye umri wa miaka 75 amekuwa akikabiliwa na shinikizo za kumtakja ampe nafasi mamamu wake Cyril Ramaphosa, ambaye ndiye sasa kiongozi...

 

11 months ago

Zanzibar 24

BREAKING NEWS: Rais Jacob Zuma wa afrika kusini ajiuzulu

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu nafasi yake, baada ya kushinikizwa na chama chake cha African National Congress (ANC).

Kamati Kuu ya ANC ilikutana Jumanne na kumtaka Rais Zuma ajiuzulu kabla ya kuisha kwa siku ya Jumatano, kutokana na tuhuma mbalimbali za rushwa zilizokuwa zikimkabili.

Mapema leo mchana Rais Zuma alifanya mahojiano na kituo cha runinga cha Afrika Kusini na kusema kwamba hawezi kujiuzulu kwa sababu wale wote wanaomtaka ajiuzulu hawajaweza...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani