11 wagunduliwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar

Jumla ya Wanawake 11 kati ya 3013 waliopimwa Saratani ya Shingo ya kizazi, awamu ya kwanza, wamegundulika kuwa na maradhi hayo na wengine 48 wameonyesha kuwa na dalili na hatua za kuwapatia matibabu zilianza baada ya kugunduliwa.

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed alieleza hayo katika hafla ya kuwaaga na kuwapongeza Madaktari wa kichina, kutoka Jimbo la Jiangsu, baada ya kukamilisha awamu ya kwanza ya Mradi wa uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya kizazi ulioanza tarehe 03 na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

SARATANI SHINGO YA KIZAZI

mfumo-wa-uzazi

Na VERONICA ROMWALD-DAR ES SALAAM

TAKWIMU za Shirika la Kimataifa la Atomiki la Utafiti wa Saratani (IARC) na Shirika la Afya Duniani (WHO), zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya wa saratani wanaokadiriwa kufikia milioni 14.1 duniani kote.

IARC linaeleza kwamba kati ya hao zaidi ya wagonjwa milioni 8.2 hufariki dunia kwani huchelewa kufika au kufikishwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.

Kwa mujibu wa WHO ugonjwa wa saratani huathiri watu wa rika na jinsia zote na huchangia...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

 

4 years ago

GPL

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (SERVICAL CANCER)

Hii ni saratani inayojitokeza katika shingo ya kizazi na kusambaa ndani na nje ya kizazi. Hii ni kutokana na ukuaji usio wa kawaida wa chembe hai sehemu hiyo, seli au chembe hai hizi zina tabia ya kusambaa kwa kasi na kushambulia maeneo mengine ya mwili. Tatizo linapotokea huwa hakuna dalili kubwa za awali zaidi ya kutokwa na damu ukeni, maumivu ya nyonga na maumivu wakati wa tendo la ndoa, wakati mwingine damu inatoka baada ya...

 

4 years ago

Vijimambo

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER )


Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.

Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kuwa,kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa...

 

5 years ago

Habarileo

Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi Mei

Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan MmbandoCHANJO ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka tisa hadi 13 itaanza kutolewa na serikali mwezi ujao.

 

5 years ago

Habarileo

Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi

HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.

 

4 years ago

Mwananchi

‘Umasikini unachangia vifo saratani shingo za kizazi’

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk Faisal Issa amesema umaskini unachangia kwa kiwango kikubwa wanawake kupoteza maisha, kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

4 years ago

Habarileo

Ngono salama kuepusha saratani ya shingo ya kizazi

WATANZANIA hususan w a n a w a k e wametakiwa kufanya ngono salama kuepuka maambukizi ya saratani ya shingo ya kizazi, yanayoelezwa kusababishwa na kirusi cha binadamu (Human Papilloma), kinachosambazwa kwa njia hiyo.

 

4 years ago

Vijimambo

NesiWangu: SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER ).

NesiWangu: SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER ).: Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani