5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga

WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyeua watu 17 wa familia moja kwa kuwakata mapanga atiwa mbaroni

Mwanamume aliye fanya mauaji ya watu 17 wa familia moja wakazi wa Mugaranjabo wilaya ya Musoma mkoani Mara, kwa kuwakata mapanga wakiwa nyumbani kwao, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara. Tukio hilo la mauaji ya watu 17 wa familia moja lilifanywa mwaka 2010  na Sura Bukaba Sura maarufu kwa jina la Phinias Yona au Epoda mwenye miaka 35, mkazi wa wilayani Butiama mkoani Mara ambaye amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara mbele ya hakimu Richard...

 

4 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

Malunde

WATANO WAKAMATWA NA POLISI KWA KUUA KWA MAPANGA NA MASHOKA WATU WATATU WA FAMILIA MOJA


POLISI mkoani Rukwa inawashikilia watu watano wakituhumiwa kuwaua kikatili watu watatu wa familia moja ambao ni wakazi wa kijiji cha Mfinga kilichopo katika Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga kwa kwa kucharangwa na mapanga na mashoka kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, George Kyando, aliwataja marehemu hao kuwa ni Joachim Kayanda (60), mkewe Evelina Mwanakatwe (47) na mtoto wao wa kiume aitwaye Emanuel Kayanda (27) .
Kwa mujibu wa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Watatu wa familia moja wafa ajalini

WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....

 

3 years ago

Habarileo

Wanne wa familia moja wafa moto

HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama mmoja, waliokuwa wamefungiwa chumbani na dada anayewalea.

 

5 years ago

GPL

WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA

Stori: Juma Kapipi, Tabora
INAUMA sana! Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Miili ya watoto wawili, Daniel Paul na mdogo wake, Emmanuel Paul ikitolewa eneo la tukio. Katika tukio lililojiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa Rufita, Mwanza-Road mjini hapa baada ya nyumba waliyokuwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Watu saba wa familia moja wafa maji Ziwa Victoria

Watu saba wa familia moja wamekufa maji na wengine wanne kunusurika baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama Ziwa Victoria wilayani hapa Mkoa wa Mwanza.

 

3 years ago

Mtanzania

Diwani CUF auawa kwa kukatwa mapanga

Na Renatha Kapaka, Bukoba

DIWANI wa Kata ya Kimwani Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Silvester Miga (55) wa Chama cha Wananchi (CUF), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini, baada ya kuvamiwa na kukatwakatwa  mapanga nyumbani kwake.

Tukio la kuuawa kwa diwani huyo lilitokea usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake akiangalia taarifa ya habari katika runinga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi, alisema Miga alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mke na Mme wauliwa kwa kukatwa na mapanga

Mume na mke wakulima na wakazi wa kijiji cha Tambukareli, Tarafa ya Itigi, wilaya ya Manyoni mkoani Singida, wameuawa kikatili kwa kukatwa katwa kwa mapanga sehemu mbali mbali za miili yao na watu wasiofahamika.

Wanandoa hao ni Mbulalina Shomi (80) na mke wake Joyce Mathayo (70), ambapo inadaiwa kuwa wameuawa na mtoto wa kambo Henry Yoweli Malugu (55) ambaye ni mtoto wa marehemu Joyce Mathayo.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka, alisema tukio hilo la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani