ABE YAENDESHA MAZUNGUMZO KUHUSU ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA WA KITANZANIA

ABE, bodi inayotoa kozi mbalimbali kutoka nchini Uingereza, yaandaa hafla fupi iliyowakutanisha wadau mbalimbali kujadili masuala ya elimu nchini Tanzania na matokeo yake katika ajira kwa vijana. Hafla hiyo ilishirikisha watu wenye taaluma mbalimbali kama vile watoa elimu, wanafunzi, makampuni ya ajira, maafisa wa rasilimali watu, wafanyakazi wa makampuni binafsi na serikalini, vyombo vya habari na wananchi wengine wanaoguswa na tatizo hilo. 
Katika hafla hiyo, jopo lililoteuliwa na waandaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

UBONGO LEARNING YAKABILIANA NA UWEZO WA VIJANA WA KITANZANIA KUPATA AJIRA

Ubongo Learning ambalo ni shirika linaloongoza barani Afrika kwa maudhui ya elimu ya kuburudisha kwa watoto, leo imeandaa mkutano wake wa mwaka ambao ulikuwa na lengo ya kuzungumzia uwezeshwaji kiuchumi, haswa kwa wasichana ambao wanaweza kuathirika zaidi ya wavulana kutokana na mabadiliko katika soko la ajira.

Kwa kipindi cha miezi 6 sasa, Ubongo Learning, shirika lisilo la kibiashara ambalo ndiyo lilibuni katuni za kuelimisha za Ubongo Kids, limekuwa likifanya utafiti juu ya uwezo...

 

2 years ago

Channelten

Mpango wa elimu wa Marekani, Wanufaisha vijana zaidi ya 200 wa kitanzania

USAID_DIR_SharonCromer_LetGirsLearn_750x450

Zaidi ya vijana mia mbili kutoka baadhi ya shule za msingi na sekondari za serikali hapa nchini wamenufaika na mpango wa elimu wa unaoendeshwa na serikali ya Marekani ambao hutolewa kwa awamu tofauti za miaka miwili miwili.

Program hiyo iliyoanzishwa mwaka 2004 tayari imenufaisha zaidi ya vijana laki moja kutoka mataifa mbalimbali duniani, inalenga kukuza uelewa wa vijana hasa wa Afrika kwenye medani ya Lugha na matumizi yake katika kujijengea uwezo wa kukabiliana na mazingira yoyote ndani...

 

2 years ago

Michuzi

VIJANA WA KITANZANIA KUPEWA ELIMU YA UJASIRIAMALI KUTOKA THUD YA NCHINI AFRIKA KUSINI

                                  Na Zainab Naymka, Globu ya Jamii.

THE Africa Entrepreneurship Compass (AEC) kutoka nchini Tanzania kwa kushirikiana na The Hook Up Dinner (THUD) kutoka Afrika Kusini wamedhamiria kutoa elimu wa vijana kuhusiana na ujasiriamli pamoja na kukutana nao kwa pamoja ili kufahamu changamoto wanazokutana nazo.
Ujio huo unakuwa ni kwa mara ya kwanza kuja hapa Tanzania na tayari wameshawasili nchini wakiwa viijana kumi na mbili kutoka Afrika Kusini na wanatarajia kufanya...

 

3 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua Program ya Wajibika kusaidia ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo na taasisi ya elimu ya juu

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde, akishiakana mikono na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Neema Rose-Singo (kushoto), baada ya kuzindua program ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwandaa vijana wahitimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu kuingia soko la ajira rasmi na binafsi katika hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wapili kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.

 

3 years ago

Michuzi

VIJANA WA KITANZANIA WASHIRIKI MAFUNZO YA UWEZESHAJI KWA VIJANA JIJINI BEJA, NCHINI URENO

Vijana watano kutoka Tanzania ni miongoni mwa vijana 30 wanaoshiriki katika mafunzo ya wawezeshaji wa ujasiliamali unaozingatia mazingira yanayofanyika jijini Beja, nchini Ureno.
Mafunzo hao ambayo yanafanyika kwa muda wa siku saba yanalenga kuwajengea uwezo vijana hao kuendesha mafunzo kwa vijana wenzao katika nchi wanakotoka ili kusaidia kupunguza tatizo la ajira na uharibifu wa mazingira.
Nchi zinazoshiriki mafunzo hayo na majina ya taasisi zinazoshiriki kwenye mabano ni pamoja na wenyeji...

 

3 years ago

Dewji Blog

JKT yaitaka kamati ya ulinzi na usalama kutoa taarifa sahihi kwa vijana wa wanaoenda mafunzoni kuhusu ajira

E80A2902-1

Mkuu wa Mkoa Kigoma Issa Machibya (Mwenye suti) akikagua gwaride la vijana wa kujitolea Operesheni Kikwete  katika kambi ya Jeshi la kujenga Taifa Bulombora wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa sherehe ya kumaliza mafunzo kwa vijana 528 wa kujitolea. (Picha na Emmanuel Senny).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limezitaka kamati ya ulinzi na usalama za mikoa na wilaya kutoa taarifa sahihi kwa vijana wanaotaka kujiunga na mafunzo katika kambi za jeshi hilo kuwa...

 

5 years ago

Mwananchi

Ugumu wa kupata ajira kwa wahitimu wa Kitanzania

Huenda tukio hili likawa la aina yake nchini na hata kubaki katika kumbukumbu za watu wengi kwa sasa na miaka ijayo. Hili ni tukio la wahitimu zaidi ya 10,000 kuitwa katika usaili wa kazi wakigombea nafasi 70 zilizotangazwa na Idara ya Uhamiaji.

 

2 years ago

Dewji Blog

TYVA yajipanga kutoa elimu kwa vijana kuhusu mabadiliko ya Katiba

Asasi ya Vijana, Tanzania Youth Vision Association kwa kushirikiana na International Republican Institute zimetoa mafunzo ya kuboresha uwezo wa vijana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini katika mikoa mitatu ilijumuisha wilaya nne, ikiwemo Kinondoni, Dodoma mjini, Chamwino na Tanga Mjini.

Mafunzo hayo yameweza kufikia vijana 500 kwa njia ya warsha na vijana na wananchi zaidi ya 100,000 kupitia mitandao ya kijamii.

Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuongeza uelewa na ushiriki wa vijana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani