Abiria wa treni inayotumia reli ya kati wakwama Morogoro baada ya reli kuzibwa na treni ya mizigo.

Mamia ya abiria wa treni inayotumia reli ya kati kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora, Mwanza, Kigoma na mikoa mingine ya bara wamekwama mjini Morogoro na kushindwa kuendelea na safari, baada ya reli hiyo kuzibwa na treni ya mizigo iliyoharibika katika eneo la Mkata wilayani Kilosa.

Day n Time: jumatatu saa 2:00 usikuStation: ITV

Ippmedia

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

3 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

2 years ago

Michuzi

masaa 24 baada ya ajali ya treni, njia ya reli kati ya Dar es salaam na Ruvu imefunguliwa rasmi

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umetoa taarifa kuwa kuanzia saa 9 alasiri leo Januari 30, 2017 njia ya reli kati ya Kituo Kikuu cha Dar es salaam na Ruvu imefunguliwa rasmi kwa shughuli za uendeshaji wa reli. 


 Taarifa hiyo imesema kuwa kazi ya ufunguaji njia imewezekana baada ya Wahandisi na Mafundi wa reli kuyaondoa Mabehewa yaliopata ajali l kutoka relini na pia kuikarabati sehemu iliyo haribika . Kazi hiyo imefanyika kuanzia usiku wa Januari 29, 2017 hadi mchana wa Januari...

 

2 years ago

Channelten

Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo imezindua Treni maalum ya kubeba mizigo

1 (1)

Kwa mara nyingine Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo imezindua Treni maalum ya kubeba mizigo(BLOCK TRAIN)Itakayokuwa inatumika kusafirisha mizigo mbalimbali iikiwemo mizigo ya Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP kutoka bandari ya Dar es salaam na kuelekea ghala kuu ya Chakula ya Shirika hilo iliyopo Kizota Mkoani Dodoma.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi uliofanyika jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Masanja Kadogosa amesema lengo la uanzishwaji wa Usafirishwaji...

 

3 years ago

Michuzi

SAFARI ZA TRENI RELI YA KATI ZAANZA RASMI

Huduma  ya usafiri  wa reli ya Kati iliyokuwa imesimama kwa takribani miezi miwili sasa imerejea kufuatia  kukamilika kwa ukarabati wa reli  hiyo katika eneo la kidete wilayani kilosa, mkoani Morogoro.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa  amesema  hayo baada ya kukagua na kuridhika na ukarabati uliofanywa katika maeneo ya Magulu, Munisagara, Mzaganza na kidete Wilayani Kilosa.
“Hakikisheni mnailinda reli hii kwa manufaa yenu na ya Taifa, leo hii reli iko  vizuri na...

 

3 years ago

Michuzi

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) LASITISHA HUDUMA YA TRENI YA JIJI MAARUFU KAMA TRENI YA MWAKYEMBE.

Shimo katika tuta la reli  eneo la Buguruni kwa Mnyamani  ambalo limesababishwa na mvua inayoendelea kunyesha hapa nchini ambapo ukarabati wa eneo hilo unaendelea ili kufanikisha usafiri kurejea hapo kesho.

KAMPUNI YA RELI TANZANIA(TRL) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umetangaza kusitishwa huduma ya treni ya jiji maarufu kama Treni ya Mwakyembe awamu ya jioni ya leo Februari 09, 2016. 
Taarifa imefafanua kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na maji ya mvua kuchimba shimo kubwa...

 

3 years ago

Michuzi

MBARAWA AFUNGUA RASMI SAFARI ZA TRENI RELI YA KATI

Muonekano wa Sehemu ya Reli katika eneo la Kidete, Wilayani Kilosa, mara baada ya ukarabati kufuatia mvua kubwa zilizonyesha katika mikoa ya Iringa na Dodoma na kukata Mawasiliano kati ya Mkoa wa Morogoro na Dodoma.Kazi za ukarabati wa mwisho zikiendelea katika eneo la Kidete, Wilayani Kilosa, mara baada ya ukarabati kufuatia mvua kubwa zilizonyesha katika mikoa ya Iringa na Dodoma na kukata Mawasiliano kati ya Mkoa wa Morogoro na Dodoma.Treni ya Mizigo ikiwa tayari kuanza safari katika eneo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Mbarawa azindua rasmi safari za treni reli ya kati

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amefanya uzinduzi wa safari za reli ya kati ambayo ilikuwa inaishia Morogoro kutokana na kuharibika eneo Kidete mkoani Morogoro baada ya kunyesha mvua kubwa.

Baada ya uzinduzi huo safari za treni zinataraji kurudi kama kawaida kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam.

1 (10)Muonekano wa Sehemu ya Reli katika eneo la Kidete, Wilayani Kilosa,  mara baada ya ukarabati kufuatia mvua kubwa zilizonyesha katika mikoa ya Iringa na Dodoma na kukata...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani