ACCESS BANK WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM WANAOSOMA SHULE YA MSINGI MTAMBANI




Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Akikabidhi Vifaa Mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum wanaosoma  shule ya Msingi Mtambani Iliyopo Boko Manispaa ya Kinondoni.Benki ya Access Bank imetoa Msaada wa Wanafunzi Wenye Mahitaji maalumu wanaosoma Shule ya Msingi Mtambani Manispaa ya Kinondoni.Meneja Masoko kutoka Access Bank alisema Msaada huo ni sehemu ya faida ya Benki hiyo Ambayo Wnarudisha kwa Jamii ya Watanzania hivyo waliguswa na Changamoto Kubwa Zinazowakabili...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

TCAA WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WA SHULE YA MSINGI MTAMBANI BOKO DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johari(kushoto), akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa wanafunzi wenye mahitaji maluum wenye ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijiniI Dar es salaam. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule hiyo Mariana Saso na Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule hiyo Asaph Maerere.Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana. Wanafunzi wenye mahitaji...

 

3 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA(TCAA) WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WA SHULE YA MSINGI MTAMBANI BOKO DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johari(kushoto), akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa wanafunzi wenye mahitaji maluum wenye ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijiniI Dar es salaam. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule hiyo Mariana Saso na Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule hiyo Asaph Maerere.Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana.Mkuu wa Kitengo Maalumu...

 

5 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

5 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

1 year ago

Michuzi

Benki ya CRDB yakabidhi msaada wa Madarasa na Madawati kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalum Shule ya Msingi Msasani jijini Dar

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta pamoja na Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la madarasa kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalum katika Shule ya Msingi Msasani, Dar es Salaam, Aprili 6, 2018. Msada huo ni ya sehemu ya Benki ya CRDB katika kuisaidia jamii. Ambapo Benki hiyo imejiwekea sera maalum ya kusaidia jamii ambayo inalenga kurudisha kiasi cha asilimia moja ya faida...

 

1 year ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

IDARA ya Uhamiaji nchini imefanya usafi katika Kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu na Shule ya Msingi ya Matumaini ya Jeshi la Waokovu ‘Salvation Army’ iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza kufanya usafi katika shule hiyo,kwa niaba ya Kamishina Jenerali wa Idara hiyo , Kamishina wa Utawala na Fedha, Edward Chogera amesema tangu kutangzwa Siku ya Jumamosi ni ya kufanya usafi Idara yai...

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI KANU WA NIGERIA AMBAYE NI BALOZI WA KAMPUNI YA STARTIMES ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WA SHULE YA MSINGI YA MAJI MATITU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maji Matitu Bw.  Abdul Mgomi akimkaribisha mchezaji huyo shuleni hapo. Kutoka kulia ni Mwalimu Shabani Msabaha wa shule hiyo, Mchezaji Kanu na Makamu Rais wa Kampuni ya StarTimes, Zuhura Hanif.
Mchezaji Kanu akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada huo.Hapa Kanu akimkabidhi msaada wa sabuni ya unga Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Abdul Mgomi.Wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa shule hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.Kanu akitoa msaada wa magodoro.Kwa...

 

2 years ago

Malunde

MBUNGE AZZA HILAL ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYOSOMA... ATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU


Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal (CCM) akikabidhi baiskeli kwa mwanafunzi mwenye ulemavu (hatembei wala haongei) katika shule ya msingi Tinde-Picha na Said Nassor-Malunde1 blog Tinde***
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hilal (CCM) ametembelea shule ya msingi aliyosomea Tinde iliyopo katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga kisha kutoa msaada kwa wanafunzi nane wenye ulemavu wa viungo. 
Mbunge huyo ametembelea shule hiyo jana Jumatano Septemba...

 

4 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI

Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina akiongea na vyombo vya habari juu ya mipango ya Mfuko huo kutoa misaada kwa jamii hasa kwa wale wenye mahitaji kama walemavu wa ngozi (Albino) Mtoto Maria Mwingira akipokea msaada wa mafuta maalum ambayo hukinga ngozi yao wakati wa jua kali kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina.Kijana Salum Iddi akitoa neno la shukurani kwa Mfuko wa GEPF kwa niaba ya watoto wenzake huku akisikilzwa kwa makini na Meneja Masoko wa GEPF,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani