ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu

CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho  Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TASWA kufanya uchaguzi Novemba 5, mwaka huu

KAMATI ya Utendaji ya Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), iliyokutana Dar es Salaam jana Septemba 7, 2017, imepanga Uchaguzi Mkuu wa chama hicho ufanyike Novemba 5, mwaka huu.

Uchaguzi huo utafanyika Dar es Salaam katika ukumbi ambao utatangazwa na tayari kamati imeaigiza sekreterieti ya TASWA, ifanye maandalizi kuhusu uchaguzi huo, ikiwa ni pamoja na kulishirikisha Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa ajili ya usimamizi wa karibu.

Kikao kimekubaliana watakaoshiriki...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mkutano wa nne wa baraza la wawakilishi kuanza novemba 23 mwaka huu

Mkutano wa nne wa baraza la tisa la wawakilishi Zanzibar  unatarajiwa  kuanza  Novemba 23 mwaka  2016 ambapo miswada minne itajadiliwa katika kikao cha bazara  hilo.

Akizungumza na Waandishi wa habari Kaimu Katibu wa Baraza la wawakilishi Amour Mohammed Amour amesema, miswada itakayojadiliwa katika kikao kijacho ni Mswada wa Sheria ya kufuta na kutunga upya sheria  ya ushahidi sura ya tano,Mswada wa sheria ya kurekebisha sheria ya mfuko wa hifadhi ya jamii  namba 2 ya mwaka 2015 ili kuweka...

 

3 years ago

Mtanzania

Mkutano Mkuu Yanga Agosti 6 mwaka huu

Baraka DeusdeditNa WINFRIDA NGONYANI – DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeitisha Mkutano Mkuu wa wanachama utakaofanyika Agosti 6 mwaka huu, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya watani wao wa jadi, Simba kufanya mkutano wao mkuu na kupitisha mabadiliko ya uendeshaji wa klabu kutoka kwenye mfumo wa wanachama hadi mfumo wa hisa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit, iliwataka wanachama wa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha. Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akionyesha kitabu cha taarifa ya mwaka 2013 cha benki ya CRDB katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Arusha. Katikati ni Katibu wa Benki hiyo, John Rugambo na Mkurugenzi wa Fedha, Fredrick Nshekanabo. Benki ya...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AWASILI KISIWANI PEMBA MCHANA HUU,KUFANYA MKUTANO WA HADHARA GOMBANI YA KALE JIONI YA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba,Mchana wa leo tayari kwa Mkutano wa Hadhara wa CCM kwa Mikoa ya Miwili ya Pemba.wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ndg. Mzee Mbelwa (kulia) akifatiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,Abdallah Mshindo.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai (katikati) akifurahia...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Macha Novemba 18 mwaka huu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi ilishindwa kutoa uamuzi kama  inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha kama ana kesi ya kujibu ama la. Hali hiyo ilitokana na Hakimu...

 

4 years ago

GPL

RUFAA YA PISTORIUS KUSIKILIZWA NOVEMBA 3 MWAKA HUU

Oscar Pistorius akiwa mahakamani. Baba mzazi wa aliyekuwa mpenzi wa Pistorious, Reeva Steenkamp, Barry Steenkamp akiambatana na mkewe, June wakati wa kusikiliza kesi ya mkwe wao. Pistorius akiondoka Mahakama Kuu ya Afrika Kusini Oktoba mwaka jana baada ya kusikiliza kesi yake. Pistorious and aliyekuwa mpenzi wake Reeva…

 

4 years ago

Michuzi

KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
 Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani