ACT wataja mbinu kumaliza mgogoro Z’bar

Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo matatu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar ili kuwaondolea wananchi wa visiwani humo hali ngumu ya maisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Wabongo Wataja Njia 3 za Kumaliza Sakata la Lugumi

magufuli1Rais John Pombe Magufuli.

DAR ES SALAAM: Sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises inayomilikiwa na Said Lugumi (pichani) kudaiwa kuingia mkataba tata wa mabilioni ya shilingi wa kufunga mashine za kutambua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini, limeingia mitaani huku baadhi ya Wabongo wakitaja njia 3 za kumaliza ishu hiyo.

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, baadhi ya wananchi walionesha shaka yao kuhusu sakata la Lugumi kuwa gumzo likiumiza vichwa vya wabunge kama vile...

 

3 years ago

Mwananchi

Wanataaluma Udom wataja kiini cha mgogoro

Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udomasa) imetaja mambo sita yanayohusu ukweli wa sakata la wanafunzi walioamriwa kuondoka chuoni hapo.

 

5 years ago

Mwananchi

Mbinu za kumaliza mbumbumbu shule za msingi

>Tatizo la wanafunzi wa shule za msingi wakiwemo wahitimu wa darasa la saba kutojua kusoma, kuandika na kuhesabu, linazidi kushika kasi kiasi cha kuwashughulisha wadau wengi wa elimu nchini.

 

3 years ago

Habarileo

Possi ataja mbinu kumaliza dawa za kulevya

TATIZO la dawa za kulevya nchini halitamalizwa, endapo jamii haitashiriki katika vita dhidi ya matumizi ya dawa hizo zinazoathiri nguvu kazi ya Taifa. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Dk Abdallah Possi alisema tatizo hilo ni kubwa na kulimaliza ni jukumu la kila mtu na jamii.

 

4 years ago

Habarileo

RC kumaliza mgogoro wa ardhi Nyakato

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.KATIKA kukabiliana na mgogoro wa ardhi katika eneo la Mahangu C kata ya Nyakato wilayani Ilemela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameahidi kupeleka wataalamu wengine kwa ajilii ya kufanya uhakiki mpya.

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali kumaliza mgogoro wa ardhi

Serikali imeorodhesha maeneo yenye migogoro ya ardhi nchini baina ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa lengo la kuimaliza.

 

2 years ago

Mwananchi

CCM Z’bar kubadili mbinu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Abdallah Juma Abdallah maarufu Mabodi amesema chama hicho kimejipanga kufanya siasa za kisayansi zenye ushindani wa sera, kitaaluma na ubunifu zitakazojenga mazingira ya ushindi mwaka 2020.

 

4 years ago

BBCSwahili

SPLM kumaliza mgogoro Sudan Kusini

Vikundi vinavyopingana nchini Sudan Kusini vimesaini mkataba wa amani nchini Tanzania, ukilenga kumaliza mgogoro ulioua maelfu ya watu katika taifa hilo

 

4 years ago

Habarileo

Pinda aombwa kumaliza mgogoro wa wafanyabiashara

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuzuia migogoro ya jumuiya ya wafanyabiashara nchini kwa kuwa imekuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani