Adaiwa kujinyonga hadi kufa

MKAZI wa Morogoro Said Tenga (53), amekutwa amekufa kwa kujinyonga chumbani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Amuua mkewe nayeye kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi, Ahmed Msangi ametoa taarifa za mauaji yaliyofanywa na John Ntemi (23) mkazi wa Kijiji cha Mahaha ambaye anatuhumiwa kumuua mkewe Casta Edward kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu za mwili wake kisha na yeye mwenyewe kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme wilayani Magu. Kamanda Msangi amesema inadaiwa wawili hao walikuwa wanaishi peke yao na kabla ya tukio hilo kutokea wanandoa hao walikuwa wakiishi kwa amani na...

 

5 years ago

Mwananchi

Atumia shuka kujinyonga mpaka kufa

>Watu watano wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mtu mmoja kujinyonga kwa kutumia shuka yake aliyoifunga kwenye kenchi ya paa la nyumba aliyokuwa anaishi.

 

2 years ago

Habarileo

Mtoto wa miaka 10 adaiwa kujinyonga

HALI ya sintofahamu imegubika kadhia ya binti wa miaka 10 aliyezikwa jana jijini Arusha akidaiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kamba iliyoning'inizwa kwenye banda la kuku.

 

3 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi darasa la sita adaiwa kujinyonga Songea

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka kumi na moja anayesoma darasa la sita, Gloria Mrope amekutwa amekufa huku mwili wake ukining’inia kwenye mti nje ya nyumba ya wazazi wake.

 

3 years ago

Mwananchi

Mlinzi adaiwa kujinyonga kwa kuambukizwa VVU

Mlinzi wa  Kampuni ya  Ulinzi ya Imara , Samwel Alcado (39) amekutwa akiwa amejinyonga ndani ya chumba chake kutokana na kile kinachodaiwa ni kugundulika kuwa ana virusi vya Ukimwi (VVU).

 

3 years ago

Habarileo

Adaiwa kufa kwa kunyweshwa mitishamba

MTOTO Dominica Matenya (3) amefariki dunia kwa kudaiwa amenyweshwa dawa za miti shamba na jirani yake, Leah John katika Kitongoji cha Dandulu, Kijiji cha Didia kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

 

4 years ago

GPL

ADAIWA KUFA, AIBUKIA DUKANI KWA MTU

Waandishi wetu SIMULIZI inashangaza! Hussein Mohamed (28) amewekewa msiba nyumbani kwa wazazi wake baada ya kuambiwa kijana huyo amefariki dunia.Tukio hilo lilijiri hivi karibuni Magomeni ya Makuti, Dar ambapo habari zilisema, Hussein alicharangwa mapanga Vingunguti Dar na watu wasiojulikana na amefariki dunia. . .....Soma zaidi===>http://bit.ly/1HzJASa ...

 

4 years ago

Habarileo

Apigwa mawe hadi kufa

MKAZI wa kitongoji cha Mnele kijiji cha Chinongwe B katika kata ya Chinongwe wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Longino John (35) ameuawa kwa kupigwa mawe na hatimaye kuchomwa moto kwa madai ya kumjeruhi Mendrati Chinguile (63) ambaye ni mlemavu wa macho.

 

5 years ago

Mwananchi

Msichana abakwa hadi kufa

>Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani