Afa Kisa Goli la Simba

STORI:GLADNESS MALLYA | Risasi Jumamosi

DAR ES SALAAM: Kifo popote! Mechi ya Simba na Mbao FC iliyochezwa Aprili 10, mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza imesababisha kifo cha Hamis Maige ‘Bika’ mkazi wa Ifakara, Morogoro ambaye ni shabiki wa Timu ya Simba baada ya kupata mshtuko kutokana na mabao ya ghafl a iliyoipata timu hiyo.

Kaka wa marehemu aitwaye Hashim Manondo alieleza kuwa siku ya mechi, Hamis alikuwa
akikuwa akifuatilia mchezo huo kwa ukaribu huku wakiwasiliana kwa simu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

3 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU …

Usiku wa January 8 klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba iliimaliza michezo yake ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuitembezea kichapo cha goli 1-0 klabu ya JKU ya Zanzibar, huku goli hilo likifungwa na Jonas Mkude dakika ya 65 ya mchezo. Cheki video ya sehemu ya mchezo na goli […]

The post Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wachamungu Mbao waliwa na Simba kwa goli la usiku: Ubaoni Simba 1-0 Mbao

Timu ya Mbao ilijizatiti vilivyo, ilionyesha kiwango bora na kuwafanya Simba wasubiri dakika za usiku kuweza kujihakikishia pointi tatu.

Muzamiru Yassin dakika 88 aliifungia Simba goli pekee katika mchezo huo na kuifanya Simba itoke viwanja vya uhuru ikiwa kifua mbele na pointi tatu pamoja na kuendeleza rekodi ya kutokufungwa tokea ligi imeanza.

Kwa Matokeo hayo wekundu wa Msimbazi wameendelea kung’ang’ania kileleni wakiwa na pointi zao 24 wakati timu ya Mbao Fc imeshuka hadi nafasi ya 11 ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Goli kipa wa zamani wa Simba, Abel Dhaira afariki dunia

Aliyewahi kuwa goli kipa wa Simba msimu wa 2013/2014, Abel Dhaira amefariki dunia nchini Iceland kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa Saratani kwa miezi kadhaa.

Dhaira ambaye alikuwa akikipiga katika klabu ya IBV Vestmannaeyjar alikuwa akisumbuliwa na saratani ya utumbo ambapo tarifa ya kifo chake imethibitishwa na mmoja wa viongozi kutoka Chama cha Soka cha Uganda (FUFA), Bernard Ogwel alipokuwa akizungumza na BBC Sport.

“Kwa kweli ni huzuni kwa familia yake na nchi kwa ujumla,” alisema...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0

img_4517

October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 86. Video kwa hisani ya Azam TV ALL GOALS: Yanga […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

SIMBA YASHINDWA KUUNGURUMA MBELE YA TANZANIA PRISON,YAFUNGWA GOLI 2-1

Mtanange wa Simba Dhidi ya Tanzania Prison Ulimalizika kwa Kishindo uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Ambapo Timu Ya wekundu wa msimbasi Simba Fc Ilipokea kichapo Cha Goli 2-1 Kutoka kwa wajelajela Tanzania Prison kama ambavyo Taswira Hapo juu ikionyesha mchezaji wa Simba Shoto, Jonas Mkude akichuwana Vikali na Salum Kimenya Katika Mtanange Ulio Malizika Katika Uwanja Wa Sokoine Ikiwa Jamal Mnyate Dk.43 Kipindi cha Kwanza Aliipatia Goli Timu Ya Simba, Huku Victor Hangaya kutoka...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la John Bocco vs Simba lililomuwekea rekodi mpya

January 28 2017 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa Azam FC na Simba kucheza mchezo wao wa 18 wa Ligi Kuu bara katika historia, game hiyo imechezwa na Azam FC wakafanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na John Bocco dakika ya 71. Goli hilo linakuwa ni goli la 13 kwa John Bocco kuifunga […]

The post VIDEO: Goli la John Bocco vs Simba lililomuwekea rekodi mpya appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani