Afariki akiwa mapajani mwa mwanamke

Mwanaume mmoja katika kijiji cha Gionsaria,kaunti ya Kisii Nchini Kenya amefariki dunia baada ya mwanamke mmoja kumbana /kufungia kichwa cha mwanaume huyo katikati ya mapaja. 

Tukio hilo limetokea siku ya Ijumaa Disemba 28,2018, Chifu wa eneo hilo Oganda Matego amesema mwanaume huyo anayejulikana sana kwa jina ‘Doctor’,ambaye pia ni taniboi wa magari ya kusafirisha majani ya chai eneo hilo, alibanwa kichwa chake katikati ya mapaja/miguu na mwanamke mmoja.

Amesema wakati mwanamke huyo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Waliomchapa mwanamke viboko 30 mikononi mwa polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 10  wakiwemo viongozi watano wa baraza la mila liitwalo Irienyi ndogo la kabila la Wasimbiti kwa udhalilishaji wa kumchapa viboko mwanamke hadharani.

Mapema wiki hii, baadhi ya video ilisambaa katika mitandao ya kijamii, ikimuonesha mwanamke akichapwa viboko zaidi ya 30 hadharanina na wanaume mbele ya hadhara huku sauti za wanaume zilisikika zikishabikia kitendo hicho.

Kamanda wa Polisi Tarime/ Rorya, Andrew Satta...

 

3 years ago

Mwananchi

Mwanamke ajinyonga akiwa mahabusu

Arusha. Mahabusu Victoria Edward (51), mkazi wa Lemara mkoani hapa, aliyekuwa anatuhumiwa kuchoma moto nyumba ya familia yao, amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha mahabusu.

 

2 years ago

Mwananchi

Mtoto huanza kupata hisia akiwa tumboni mwa mama yake

Kwa kipindi kirefu tangu enzi za kale, wazazi walijitahidi kuwalea watoto wao kwa lengo la kuwafanya wazingatie maadili mema. Walitaka watoto wao tangu wakiwa wachanga wafuate mila na destruri nzuri kwa kuzirithisha kizazi hadi kizazi. Mambo yaliyokuwa yakirithishwa ni lugha, maadili mema ya upendo, ushirikiano, uadilifu na pia ujasiri.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyeshiriki Olimpiki akiwa na saratani

Fabienne St Louis alikuwa amefanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe wa seli zenye kansa kabla ya kwenda kushindana michezo ya Olimpiki Rio.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Polisi wamsaka mwanamke anayejisaidia ovyo majumbani mwa watu

Polisi nchini Colorado Marekani wanamsaka Mwanamke mkimbiaji ambaye amepewa jina la bandia kama “mchafuzi kichaa “  ambaye kila kukicha amekuwa akiendelea kujisaidia haja kubwa nje ya nyumba za watu.

Cathy Budde anasema mwanamke huyo amekuwa akiacha kinyesi chake nje ya nyumba yake hadi mara saba kwa wiki za hivi karibuni, watoto wake wamekuwa wakimuona wakati akijisaidia akiwa amechuchumaa karibu na nyumba Colorado, licha ya kuwa vyoo vya umma (misalani) vipo karibu.

Kamanda wa polisi...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Jambazi afanya jaribio la kupora bastola akiwa mikononi mwa polisi Zanzibar

Jambazi mmoja ambaye jina lake halikupatikana alifanya jaribio la kupora bastola ya polisi akiwa chini ya ulinzi wa polisi wakati jambazi huyo pamoja na wenzake wawili walipokuwa wakisafirishwa kutoka bandari ya unguja kuelekea Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokezea wakati jambazi huyo aliyekuwa amefungwa pingu kwa mbele, zilipokuwa zinabadilishwa pingu hizo ili kufungwa kwa nyuma ndipo ghafla baada tu ya kufunguliwa alipofanya jaribio la kupora bastola hiyo. Hata hivyo jaribio hilo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Afariki akiwa mgodini

Mchimbaji mmoja amefariki dunia na mwingine kunusurika baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika mgodi wa dhahabu usio rasmi wa Bingwa, katika kijiji cha Rwamgasa wilaya na mkoa wa Geita usiku wa kuamkia jana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Lodson, alisema jana kuwa aliyefariki ni Fikiri Paulo (27), mkazi wa kijiji cha Mlanda wilayani Chato ambaye mwili wake ulitolewa shimoni akiwa ameshaaga dunia.

Mwili huo ulitolewa shimoni na wachimbaji wadogo, kwa mujibu wa mkurugenzi wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayefundisha akiwa kitandani kwa miaka 18

Unapolalamika maisha magumu unatumia vigezo vipi? Soma simulizi hii ya Joyce Kantande kutoka kitandani. Wangapi hulalamika kuwa akilala muda mrefu anajisikia kuchoka au kuumwa? Umeshawahi kufikiria ugumu wa kulala kitandani kwa muda wa siku tatu mfululizo?

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwanamke atolewa akiwa hai kwenye vifusi Nairobi

Mwanamke ametolewa akiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani