Afariki akiwa mgodini

Mchimbaji mmoja amefariki dunia na mwingine kunusurika baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika mgodi wa dhahabu usio rasmi wa Bingwa, katika kijiji cha Rwamgasa wilaya na mkoa wa Geita usiku wa kuamkia jana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Lodson, alisema jana kuwa aliyefariki ni Fikiri Paulo (27), mkazi wa kijiji cha Mlanda wilayani Chato ambaye mwili wake ulitolewa shimoni akiwa ameshaaga dunia.

Mwili huo ulitolewa shimoni na wachimbaji wadogo, kwa mujibu wa mkurugenzi wa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41 afariki

MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

 

3 years ago

Mtanzania

Mchimbaji wa siku 41 mgodini afariki dunia

Na Paul Kayanda, Kahama

MMOJA wa wachimbaji wadogo  machimbo ya Nyangarata, waliookolerwa baada ya kufukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Dk. Joseph Ngowi,  alisema   kuwa Kaiwao alifariki dunia jana saa 6.00 mchana baada ya kupata matatizo na kushindwa kupumua.

“Ni kweli amekufa  na sababu ya kifo chake inaonekana wakati akitapika na huku akiwa amelala.

“Sehemu ya matapishi yake yaliingia kwenye njia ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Aliyeokolewa baada ya siku 41 mgodini afariki

Mmoja wa wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kufukiwa na vifusi kwa siku 41 mgodini ameaga dunia.

 

3 years ago

Mwananchi

Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki

Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Aliyeomba ugoro akiwa amefukiwa Mgodini Geita aongea kwanini alitaka ugoro

Habari kubwa miongoni mwa 10 kubwa za mwanzoni mwa mwaka 2017 Tanzania ni pamoja na hii ya Wachimbaji 15 wa madini Geita walionusurika kifo baada ya kufukiwa Mgodini kwa zaidi ya saa 70 lakini wakasalimika. Umeshawahi kuwa kwenye hatari ya maisha yako alafu ukakumbuka na kutaka uletewe kitu kinachokupa starehe? sasa kati ya hao 15 […]

The post VIDEO: Aliyeomba ugoro akiwa amefukiwa Mgodini Geita aongea kwanini alitaka ugoro appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Mwananchi

Kuambiana afariki akiwa kazini

Mwigizaji, mwandishi na mwongozaji wa filamu, Adamu Kuambiana amefariki dunia jana asubuhi jijini Dar es Saalam.

 

3 years ago

Mwananchi

Shakila Said afariki akiwa na miaka 70

Msanii mkongwe wa muziki wa taarab nchini, Shakila Said amefariki dunia nyumbani kwake, Mbagala jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

Mwananchi

Mwingine afariki akiwa gesti Dar

Mwanzo wa safari yake ya mwisho ulikuwa kwenye lango la nyumba ya wageni ya Rubafu iliyopo Tabata Relini jijini hapa.

 

2 years ago

VOASwahili

Tshisekedi afariki akiwa na umri wa miaka 84

Kiongozi wa upinzani wa muda mrefu afariki akiwa amekwenda kupimwa afya yake huko Ubelgiji

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani