AFC LEOPARDS USO KWA USO NA GOR MAHIA KWENYE MECHI YA FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP- USHEMEJI POPOTE

Na Zainab Nyamka-Globu ya Jamii.
Washindi wa nusu fainali za SportPesa Super Cup zilizofanyika Juni 08, 2017 Jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kukutana uso kwa uso kwenye mechi ya fainali ya kuwania kombe la michuano ya SportPesa Super Cup siku ya Jumapili ya tarehe 11, Juni 2017 itakayochezwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mechi za nusu fainali, AFC Leopards walipambana na mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara, Klabu ya Yanga na kuwang’oa kwa mikwaju ya penati 4-2 ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0

 Mabingwa ma Mashindabo ya SportPesa Super Cup 2017, Timu ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya wakishangilia ushindi wao na Kombe la Ubingwa huo, baada ya kuwatandika wapinzani wao FC Leopards Mabao 3-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Mabingwa ma Mashindabo ya SportPesa Super Cup 2017, Timu ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya wakishuhudia Nahodha wao akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola elfu 30, baada ya kutwaa Ubingwa wa Mashindano hayo...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa wao wa SportPesa Super Cup

Baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa timu ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwa ushindi wa magoli 3-0 baada ya hapo Gor Mahia walikabidhiwa zawadi yao ya mfano wa hundi na kukabidhiwa Kombe lao katika uwanja wa Uhuru, kama hukuona video nimekuwekea hapa. VIDEO: All goals Taifa Stars vs […]

The post VIDEO: Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa wao wa SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017

Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup iliyokuwa inashirikisha timu nane ilifikia tamati katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa kuchezwa mchezo wa fainali kati ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards, Gor Mahia wamefanikiwa kuibuka mabingwa wa SportPesa Super Cup baada ya kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0. VIDEO: All goals Taifa […]

The post VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 5: Mashemeji Derby Gor Mahia wameibuka Mabingwa wa SportPesa Super Cup 2017

Siku ya Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup yaliyokuwa yanashirikisha timu nane, kati ya hizo nne kutoka Kenya na nyingine kutoka Tanzania yamemalizika rasmi kwa kuchezwa mchezo wa fainali ya michuano hiyo kati ya AFC Leopards dhidi ya Gor Mahia. Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kama kawaida imechezwa katika […]

The post PICHA 5: Mashemeji Derby Gor Mahia wameibuka Mabingwa wa SportPesa Super Cup 2017 appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

BBCSwahili

Gor Mahia na Afc Leopards uwanjani

Mechi 8 zimeratibiwa kuchezwa mwishoni mwa wiki hii,ligi kuu ya premia nchini Kenya ikiingia wiki yake ya pili msimu wa 2014.

 

2 years ago

BBCSwahili

Timu ya Gor Mahia yatinga nusu fainali SportPesa

Gor Mahia imekuwa timu ya pili ya Kenya kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup.

 

10 months ago

BBCSwahili

Gor Mahia yaichapa Simba 2-0 mchezo wa fainali kombe la SportPesa

Gor Mahia imetetea ubingwa wake kwa kuichapa Simba ya Tanzania magoli 2-0 kwenye michuano ya SportPesa iliyofanyika nchini Kenya

 

2 years ago

BBCSwahili

Man United uso kwa uso na Ajax fainali Europa ligi

Mchezo wa fainali ya Europa ligi kwa msimu wa 2016/2017 unachezwa leo huko nchini Swedeni kwa Manchester United kukipiga na Ajax Amsterdam .

 

2 years ago

BBCSwahili

England uso kwa uso na Venezuela fainali ya kombe la dunia U20

Timu za England na Venezuela zimetinga kwenye hatua ya fainali ya michuano ya kombe la dunia la vijana chini ya umri wa miaka 20.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani