Afrika Kusini yakubali kurudia mechi na Senegal

Shirikisho la kandanda duniani FIFA lilitoa ilani kwamba mechi hiyo irudiwe baada ya mwamuzi wa mechi hiyo Joseph Lamptey kupigwa marufuku kwa kutoisimamia vyema mechi hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa

 

1 year ago

RFI

Afrika Kusini yakubali kuisaidia Tanzania kiuchumi

Rais wa Tanzania John Pombe Magufulu amemuomba rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kutumia uwepo wake kwenye jumuiya ya nchi za BRICS kuisaidia ipate mkopo wa masharti nafuu kutoka kwenye nchi wanachama.

 

3 years ago

BBCSwahili

Senegal yatoka sare na Afrika Kusini

Senegal iliwashangaza wengi ilipotoka nyuma na kuizuia Afrika Kusini katika mechi za mataifa ya Afrika

 

10 months ago

BBCSwahili

FIFA yataka mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal urudiwe

Shirikisho la kandanda la Kimataifa FIFA, limeamuru mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal uliofanyika Novemba 12 urudiwe .

 

1 year ago

BBCSwahili

Nyuki wavuruga mechi ya Kriketi Afrika Kusini

Nyuki walioingia uwanjani walilazimu mechi ya kimataifa ya kriketi kati ya Africa Kusini na Sri Lanka kusitishwa.

 

7 months ago

BBCSwahili

Senegal wafuzu kwa Kombe la Dunia Urusi kwa kulaza Afrika Kusini

Senegal maarufu kama Simba wa Teranga wamefuzu kwa fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya pili baada ya kupata ushindi wa 2-0 dhidi ya Afrika Kusini katika uwanja wa Peter Mokaba mjini Polokwane.

 

2 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yakubali walinda amani zaidi

Serikali ya Sudan Kusini imekubali kuruhusu kikosi chengine cha kuweka amani kujaribu kuokoa mkataba wa amani

 

3 years ago

BBCSwahili

Asamoah Gyan kuikosa mechi na Senegal

Nahodha wa timu Ghana Asamoah Gyan anaugua maradhi yanayosemekana kuwa ni malaria na huenda asikipige na Senegal leo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast

Mechi ya kirafiki kati ya Ivory Coast na Senegal ilisimamishwa wakati mashabiki waliingia uwanjani mjini Paris.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani