Ahadi ya elimu bure ilivyokonga nyoyo za wengi 2015

Mwaka 2015 uko ukingoni kumalizika na 2016 unaingia. Kila mmoja anafanya hesabu ya mavuno katika kipindi hicho. Katika tathmini ya mchango wa sekta ya elimu mwaka huu, matukio kadhaa yamejiri, lakini mjadala wa ahadi ya elimu bure uliteka hisia za Watanzania wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Tunaijua athari ya ahadi ya elimu bure?

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa masikini wanahitaji elimu, tena elimu-maarifa siyo kulundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure, tujifunze kwa MMEM

Wakati tunajiandaa kupokea elimu bure ya sekondari hapo mwakani ni vema tukajifunza mambo kadhaa kutoka elimu ya msingi ambayo tayari imekuwa ikitolewa bure.

 

3 years ago

BBCSwahili

Babu auzaye aiskrimu ateka nyoyo za wengi

Mwanamme mkongwe , 89, amechangiwa $200,000 mtandaoni, baada ya kuonekana kwa picha aking'ang'ana kusukuma toroli ya kuuzia aiskrimu!

 

1 year ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya wapenzi yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Kwa Samuel Githae na Zipporah Njeri, siku hii maarufu kwa upendo ilikuwa mwanzo wa matukio ambayo yamechangia kuinuliwa kwao kutoka kwa maisha ya kutotambuliwa mjini hadi kuwa watu mashuhuri.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya wapenzi wa mtaani yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Kwa wapenzi walioishi barabarani na kupata afueni baada ya picha zao za mabadiliko kusambaa mitandaoni, mapenzi ya mtaani ni ya dhati kuliko ya walio na hela.

 

3 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Bradley Lowery: Maelfu wafika kumuaga shabiki aliyegusa nyoyo za wengi

Mchezaji Jermain Defoe, ambaye aliunda urafiki wa karibu sana na Bradley, aliungana na familia ya mvulana huyo kumuaga kwa mara ya mwisho.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani