Ahadi ya elimu bure, tujifunze kwa MMEM

Wakati tunajiandaa kupokea elimu bure ya sekondari hapo mwakani ni vema tukajifunza mambo kadhaa kutoka elimu ya msingi ambayo tayari imekuwa ikitolewa bure.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Tunaijua athari ya ahadi ya elimu bure?

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa masikini wanahitaji elimu, tena elimu-maarifa siyo kulundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure ilivyokonga nyoyo za wengi 2015

Mwaka 2015 uko ukingoni kumalizika na 2016 unaingia. Kila mmoja anafanya hesabu ya mavuno katika kipindi hicho. Katika tathmini ya mchango wa sekta ya elimu mwaka huu, matukio kadhaa yamejiri, lakini mjadala wa ahadi ya elimu bure uliteka hisia za Watanzania wengi.

 

3 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

5 years ago

Mwananchi

Elimu ya Tehama shuleni; Tujifunze kutoka nchi jirani

Moja ya nchi zinazotajwa kupiga hatua kwenye matumizi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) shuleni katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, ni Rwanda ambapo inakadiriwa kuwa nusu ya wanafunzi wanatumia kompyuta mpakato wakiwa shuleni.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wizara ya Elimu yatoa ahadi hii kwa wanafunzi wa Zanzibar

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema itaimarisha  miundombinu ya elimu  ikiwemo kusimamia mitaala  ili iyende sambamba na mahitaji ya wanafunzi.

Akizumgumza  Mara baada ya kufunga Mkutano wa kutathmini sekta ya elimu  uliowakutanisha wadau mbalimbali wa elimu nchni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mmanga Mjengo Mjawiri amesema  Wizara  ya elimu imekubali kuyafanyia kazi matatizo yote yanayoikumba sekta  ya elimu ambayo yametajwa kuwa ndio chanzo cha wanafunzi kutofanya vizuri...

 

1 year ago

Michuzi

ELIMU BURE KWA WOTE: TULIAHIDI TUMETEKELEZA

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. John Lipesi Kayombo akiwaonyesha utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2015 - 2020 wajumbe wa Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya hiyo Ndg. Lucas Mgonja.
Mkurugenzi Kayombo kwa kushirikiana na watumishi wa Manispaa hiyo ameweza kujenga ukuta (fensi), vyoo na vyumba nane vya madarasa katika shule ya msingi Ubungo Plaza.
Kabla ya hapo shule hiyo ilikuwa haina uzio,hali ambayo ilikuwa ni hatarishi kwa wanafunzi wa...

 

5 years ago

Mwananchi

Macmilan; shule inayotoa elimu bure kwa yatima

Tatizo la uwepo wa watoto wa mitaani nchini huenda lisingeendelea kukua kama nchi ingekuuwa na mkakati katika kuwasaidia hasa kuwapatia elimu.

 

2 years ago

Dewji Blog

Elimu bure yaongeza udahili wa wanafunzi kwa asilimia 84.5

Elimu bure yaongeza idadi ya udahili wa wanafunzi wa shule za msingi nchini waongezeka kutoka 1,282,000 mwaka 2015 hadi kufikia 1,896,000 mwaka 2016 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 84.5.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais –Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe alipokuwa anaongea katika kipindi cha tunatekeleza kinachoratibiwa na Idara ya Habari – MAELEZO na kurushwa na Televisheni ya Taifa (TBC1) jana jijini Dar es Salaam.

Mhandisi Mussa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani