AHADI YA NAIBU WAZIRI WA UJENZI, ELIAS KWANDIKWA KWA MKUU WA WILAYA PANGANI KUHUSU UJENZI WA BARABARA YA TANGA-PANGANI-BAGAMOYO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Mwakani Serikali itaanza rasmi ujenzi wa barabara ya Lami kutoka Tanga, Pangani, Saadani hadi Bagamoyo

screen-shot-2016-09-11-at-4-03-31-pm

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa amewahakikishia wananchi wa Pangani kwamba  mwakani Serikali itaanza rasmi ujenzi wa barabara ya Lami kutoka Tanga, Pangani, Saadani hadi Bagamoyo yenye urefu wa kilomita 242 ili kuharakisha maendeleo wilayani humo.

Ahadi hiyo ameitoa wakati akijibu ombi la wananchi lililowasilishwa na Mbunge wa Jimbo la Pangani, Jumaa Awesso  kwenye hafla ya uzinduzi wa Kivuko kipya cha MV Tanga pamoja na Gati la Pangani, miradi ambayo imetekelezwa...

 

3 years ago

Michuzi

Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuanza ujenzi wa Barabara ya Tanga,Pangani

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akionyeshwa eneo la uwanja wa ndege itakakopita barabara ya Mchepuko itakayotoka Horohoro kuunga na inayokwenda Pangani kupitia Utofu, Majani Mapana hadi Duga.
SERIKALI ipo kwenye hatua za mwisho za kuanza ujenzi wa Barabara ya Tanga,Pangani ,Saadani mpaka Bagamoyo yenye urefu wa kilometa 242 kwa kiwango cha lami ambapo mpaka sasa tayari kazi  iliyobaki ni kupata mzabuni wa kuendesha mradi huo.
Waziri wa ujenzi,uchukuzi na...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA: ZINGATIENI VIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA BARABARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), ametoa wito kwa madiwani nchini kuanisha barabara zote zenye kipaumbele katika maeneo yao ili ziweze kuingizwa kwa urahisi kwenye mpango wa matengenezo.
Kwandikwa ametoa wito huo mkoani Tabora wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Kaliua-Urambo yenye urefu wa KM 28 ambapo pamoja na mambo mengine amesema mapendekezo yao yawasilishwe katika kamati za maendeleo za wilaya, mikoa na bodi za...

 

2 years ago

Channelten

Ujenzi wa barabara Geita, Mkuu wa wilaya atahadharisha kuhusu malipo ya fidia

DC GEITA

Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi amesema hakuna mtu atakayelipwa fidia katika ujenzi wa barabara ya kuelekea shule mpya ya msingi iliyopo mtaa wa 14 Kambarage, Kata ya Buhalahala, Halmashauri ya Mji wa Geita, huku akitishia kuvunja nyumba zote za watu wenye lengo la fidia waliojenga kando ya eneo ambalo barabara hiyo itapita.

Huku akiongea kwa msisitizo,Kapufi amedai kuwa,kwa vile ardhi ni mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,hatoruhusu kusikia masuala ya fidia maeneo ambayo...

 

1 year ago

Michuzi

Ujumbe Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Lesotho Wakutana na Naibu Waziri Kwandikwa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kushoto) akizungumza katika kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kulia) ameongoza ujumbe huo uliokuja kwa ziara ya mafunzo nchini Tanzania. Baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini wakiwa kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kati ya wajumbe wa nchi ya Lesotho na Tanzania. 

 

3 years ago

Mtanzania

Barabara ya Tanga-Pangani kikwazo cha maendeleo

barabara

NA OSCAR ASSENGA, PANGANI

MIONGONI mwa mambo ambayo huchangia kwa asilimia kubwa kukwamisha maendeleo kwenye maeneo mengi hapa nchini ni suala la ubovu wa miundombinu iliyopo, kwani ukiangalia ufikaji wake kwa baadhi ya sehemu imekuwa ni changamoto kubwa.

Wilaya ya Pangani ni miongoni mwa wilaya nane zilizopo katika Mkoa wa Tanga ambapo pia unaweza kusema ni kongwe hapa nchini, lakini bado maendeleo yake yamekuwa chini sana na kubwa ambalo tunaweza kueleza linaweza kusababishwa na ubovu wa...

 

2 years ago

Michuzi

MPINA AMTAKA MKANDARASI WA UJENZI WA UKUTA WA MTO PANGANI KUMALIZA KWA WAKATI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina, amemtaka kandarasi anaeshughulika na ujenzi wa ukuta wa mto Pangani kampuni ya ( DEZO CIVIL CONSTRUCTION L.TD ) kukamilisha ujenzi wa ufukwe wa huo kwa kipindi cha muda wa miezi kumi.
Ujenzi huo wa sehemu ya ufukwe wa kaskazini ambao una urefu wa mita 950 ambazo kati yake mita 550 zipo katika ujenzi wa awali utagharimu kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 2.4, unafadhiliwa na Mfuko wanchi maskini zaidi duniani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani