Ahadi za Rais Kenyatta kuhusu elimu bure Kenya zinatimia

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Tunaijua athari ya ahadi ya elimu bure?

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa masikini wanahitaji elimu, tena elimu-maarifa siyo kulundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure, tujifunze kwa MMEM

Wakati tunajiandaa kupokea elimu bure ya sekondari hapo mwakani ni vema tukajifunza mambo kadhaa kutoka elimu ya msingi ambayo tayari imekuwa ikitolewa bure.

 

3 years ago

Mwananchi

Ahadi ya elimu bure ilivyokonga nyoyo za wengi 2015

Mwaka 2015 uko ukingoni kumalizika na 2016 unaingia. Kila mmoja anafanya hesabu ya mavuno katika kipindi hicho. Katika tathmini ya mchango wa sekta ya elimu mwaka huu, matukio kadhaa yamejiri, lakini mjadala wa ahadi ya elimu bure uliteka hisia za Watanzania wengi.

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

3 years ago

MillardAyo

Wizara ya elimu yatoa siku 7, ya Mkapa na Rais MAGUFULI, watakaokula fedha za elimu bure..#MAGAZETINI

MWANANCHI Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amelipa siku saba Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kutoa maelezo kwa kubadili mfumo wa kupanga madaraja ya matokeo ya kidato cha nne na sita, kutoka jumla ya pointi kwenda wastani wa pointi (GPA). Aidha, waziri huyo aliyewahi kuwa katibu mtendaji wa Necta, kwa […]

The post Wizara ya elimu yatoa siku 7, ya Mkapa na Rais MAGUFULI, watakaokula fedha za elimu bure..#MAGAZETINI appeared first on...

 

2 years ago

RFI

Ahadi za rais Kenyatta kwa Wakenya ikiwa atachaguliwa tena

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anayewania urais kwa muhula wa pili, ameanisha ilani ya chama chake cha Jubilee kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 8 mwezi Agosti.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani