Airbus A220-300: Ndege mpya ambayo imenunuliwa na Tanzania imewasili Dar es Salaam

Ndege hiyo, ambayo imeundwa na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus, ni ya muundo wa A220-300.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RWANDAIR YASHUSHA NDEGE NYINGINE AINA YA AIRBUS A330-300

Shirika la Ndege la RwandAir  jana Disemba 1, 2016 lilipokea ndege nyingine mpya aina ya Airbus A330-300 series yenye uwezo wa kubeba abiria 274, na kufikia idadi ya ndege 11 zote zikiwa na ubora wa Kimataifa.
Ndege hizo mpya zina uwezo wa kutoa hudama ya WiFi wakati wote wa safari  na zinauwezo wa kubeba mizigo mingi na mikubwa kuzingatia taratibu za usafirishaji.  Meneja Mkazi wa Shirika hilo hapa nchini, Ibrahim Bukenya amesema kuwa Shirika hilo kuanzia Disemba 8, 2016 litaongeza safari...

 

3 years ago

Bongo5

Ndege ya pili mpya imewasili leo, uzinduzi kufanyika kesho

Ndege ya pili kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

n5
Ndege ya pili ilivyo wasili leo ikipata saluti ya maji

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

n6

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ndege mpya ya pili ya Air Tanzania ilivyowasili jijini Dar es salaam

img-20160927-wa0035

Baada ya ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuwasili nchini September 20 2016, Leo September 27 2016  ndege yapili ya Bombadier Q400 imewasili Dar es salaam ikitokea Canada baada ya ile ya kwanza ambazo zimenunuliwa na serikali. Naambiwa kuwa uzinduzi rasmi wa ndege hizo […]

The post VIDEO: Ndege mpya ya pili ya Air Tanzania ilivyowasili jijini Dar es salaam appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE , UGANDA

 Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege  Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe Jean Uku Commercial Manager akiwa anaongea na wateja wa Fastjet Kushoto ni Jean Uku Commercial Manager wa Fastjet na Jimy Kibati General Manager wa Fastjet wakizindua Rasmi safari za Kwenda Entebe kutokea Dar es  salaam Wageni wakikaribishwa katika Ndege ya Fastjet kutokea Dar kwenda EntebeTimu nzima ya Fastjet Baada ya sherehe fupi za uzinduzi huo
Ndege kati ya miji hii mikuu miwili zitaruka siku za...

 

5 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la Fastjet laanzisha safari mpya kati ya Dar es Salaam Tanzania na Entebbe, Uganda

CAPTAIN-SAGAR-CHAVDA-AKIWA-TAYARI-KUIONGOZA-NDEGE-KWENDA-ENTEBBE
Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege  Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe.

JEAN-UKU,-COMMERCIAL-MANAGER-AKIONGEA-NA-ABIRIA-WANAOSUBIRI-KUELEKEA-ENTEBBE

Meneja wa biashara wa Shirika la Ndege la Fastjet, Jean Uku, akiongea na wateja wa Fastjet kabla ya kuzindua rasmi safari hiyo kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar.

KUSHOTO-JEAN-UKU-COMMERCIAL-MANAGER-NA-KULIA-JIMMY-KIBATI-GENERAL-MANAGER-AKIZINDUA-SAFARI-YA-KWANZA-YA-ENTEBBE

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet nchini, Jimy Kibati na  Meneja wa biashara wa Fastjet, Jean Uku, wakizindua rasmi safari za kwenda Entebe kutokea Dar es  salaam.

MOREEN-AKIMKARIBISHA-SANJAVAN-SCHALLWILYE

Mhudumu wa...

 

5 years ago

GPL

SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE, UGANDA‏

Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe…

 

3 years ago

Zanzibar 24

Ndege ya pili ya Tanzania imewasili, kuzinduliwa kesho na JPM

Ndege moja kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

Ndege hizo aina ya Bombardier Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard Chamuriho amesema Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa...

 

3 years ago

StarTV

Uwanja mpya wa ndege Dar es salaam kukamilika 2017

ndege copy

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imeainisha mikakati yake ya kufanya maboresho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa kuboresha jengo la abiria (terminal II), ambayo yataenda sambamba na ujenzi wa terminal III.

Aidha, imesema iko kwenye mchakato wa kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kurukia ndege. Pia, imepanga kuoanisha mifumo ya mawasiliano na usalama katika majengo matatu ya abiria ya uwanja huo (terminal I, II, III).

Hayo...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 11: Ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali ilivyowasili Jijii Dar es Salaam leo

.

Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ikitokea nchini Canada ilikotengenezwa. Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua majira ya saa 6:15 Mchana na kisha kupatiwa heshima maalum ambayo hutolewa […]

The post PICHA 11: Ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali ilivyowasili Jijii Dar es Salaam leo appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani