AIRTEL YAFANYA USAJILI KWA ALAMA YA VIDOLE ENEO LA MTUMBA MJI WA SERIKALI

Airtel yaendeleza usajili kwa Watumishi mbalimbali kutoka Wizara na taasisi zake zilizopo katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambao ni wateja wa Airtel wakisajili laini zao kwa alama za vidole jana. Airtel inaendelea na usajili huo pia katika maduka yake zaidi ya 650 nchini. (Picha na Airtel).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

Michuzi

Airtel Money Branch kutumika kusajili bure laini za Airtel kwa kutumia alama za vidole nchini nzima

*Usajili wa laini za Airtel kwa kutumia alama za vidole ni BURE kwa wote.
Dar es Salaam Alhamisi 2 Mei 2019 … Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imetangaza maduka ya Airtel maoney Branch kila kona rasmi kusajili laini za simu kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kielektroniki inayohusisha uchukuaji wa alama za vidole kwa mteja walioko kila mkoa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuanza kwa zoezi hilo, Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando alisema “Kama utakumbuka mwaka...

 

3 weeks ago

Michuzi

Wabunge wafanya usajili kwa kutumia alama za vidole

Mbunge wa Viti Maalum, Sonia Magogo akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.Mbunge wa Viti Maalum, Anna Gidaria akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa...

 

4 weeks ago

Michuzi

USAJILI LAINI ZA SIMU KWA KUTUMIA ALAMA ZA VIDOLE, WANANCHI WOTE KUFIKIWA.


Na Chalila Kibuda, Michuzi Tv, Morogoro
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Kanda ya Mashariki imesema kuwa wananchi wote wenye laini za simu za simu watafikiwa na huduma ya usajili wa laini za simu kwa vitambulisho vya Uraia na alama za vidole na watoa huduma wa kampuni za simu nchini.
Hayo yamesemwa kutokana na kuibuka kwa sintofahamu ya namna wananchi watakavyofikiwa na watoa huduma kwa ajili ya kusajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole na kitambulisho cha uraia kinachotolewa...

 

6 days ago

Michuzi

IGP SIRRO ASJILI LAINI YAKE YA AIRTEL KWA ALAMA ZA VIDOLE

 Wafanyakazi wa Airtel wakimuhudumia Inspecta Jenerali wa Polisi (IGP) Saimon Sirro ili kuhakiki usajili wa laini yake ya Airtel kwa kutumia Alama za vidole leo katika Makao makuu ya polisi  jijini Dar es salaam ambapo Airtel inaendelea na zoezi la usajili na uhakiki wa laini za simu kwa kutumia Alama za vidole kama ilivyoagizwa na mamlaka ya mawasiliano TCRA kuwa hadi kufikia Dec 2019 laini zisizohakikiwa kwa mfumo wa alama za vidole (Biometria) zitafungwa.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Usajili laini za simu kwa alama za vidole ni muarubaini kwa wanaotumia mitandao vibaya

Serikali imezindua mfumo wa kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole (biometria), ambao utadhibiti changamoto za usajili mbalimbali zilizopo ikiwemo  udanganyifu unaofanyika sasa kwa kutumia laini za sasa, sambamba na kuisaidia serikali kuwa na takwimu sahihi ya watumiaji wa huduma za simu za mkononi, zitakazosaidia kuweka mipango ya uchumi wa Taifa.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Dk Maria Sasabo, Mwakilishi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,...

 

4 weeks ago

Michuzi

TCRA yatoa elimu juu ya usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole


Na Chalila Kibuda, Michuzi TV
Kanda ya Mashariki ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini(TCRA) imeendelea kutoa elimu ya mawasiliano nchini ikiwa ni pamoja kuwataka wananchi wasajili namba zao kwa kutumia alama za vidole.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyandira mkoani Morogoro Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Mamlaka hiyo Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa serikali imeshatangaza wananchi juu ya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole hivyo ni vyema wasajili kwani baada ya muda uliowekwa...

 

1 year ago

Michuzi

TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali wa Kampuni ya simu za mkononi  Tigo, Sylvia Balwire akisaini ubao wa uzinduzi wa mfumo usajili wa laini za simu unaotumia alama za vidole kuhakiki taarifa za wateja wa makampuni ya simu Tanzania(BIOMETRIC), anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo leo kwenye viwanja vya Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo (mwenye kilemba) akiwa kwenye picha ya pamoja na...

 

3 years ago

Michuzi

HUAWEI YALETA TEKNOLOJIA YA JUU YA UTAMBUZI WA ALAMA ZA VIDOLE KWA SIMU HAPA NCHINI.

 Balozi wa Huawei Brenda Muchunguzi(Kushoto) akimuonyesha mteja wa Huawei  Bw. Wilson Tendwa(Kulia) ubora wa simu mpya ya GR5 katika duka la Huawei lililopo J Mall Dar es Salaam. Balozi wa Huawei Brenda Muchunguzi(Kushoto) akimuonyesha mteja wa Huawei  Bw. Wilson Tendwa(Kulia) ubora wa camera ya simu mpya iliyozinduliwa ya GR5 katika duka la Huawei lililopo J Mall Dar es Salaam.Balozi wa Huawei Jamila Feruz (Kulia) akimuonyesha mteja wa Huawei  Bw. Jacob Kaiza (Kushoto) ubora wa simu mpya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani