AIRTEL YATOA VITABU VYA SAYANSI SEKONDARI BARIADI SIMIYU

Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania. Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi, Vitabu hivyo vyote vinathamani ya sh milioni 6 na ni vya masomo ya sayansi kutoka kampuni ya simu ya Airtel kupitia mradi wake wa kusaidia elimu wa Airtel Shule yetu. Meneja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

Airtel yatoa vitabu vya sayansi kwa sekondari mkoa wa Sumbawanga

Ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya kuhakikisha kila mtoto kuanzia chekechekea mpaka kidato cha nne wanapata elimu bure, kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania leo imetoa vitabu vya sayansi kwa shule za mkoa wa Sumbawanga vyenye thamani ya shilingi milioni kumi TZS 10,000,000. Vitabu hivyo vimepokelewa na Mbunge wa Jimbo la kalambo Mh, Josephat Kandege na kugaiwa kwa shule zenye uhabu wa vitabu jimboni humo.
 Akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu, Mbunge wa...

 

1 year ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada wa vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari Vianzi

Suala la uhaba wa vitabu vya masomo ya Sayansi, maabara pamoja na walimu wa masomo hayo limekuwa likisababisha baadhi ya wananfunzi kushindwa kumudu na hivyo kuyaepuka masomo hayo,licha ya serikali na wadau mbalimbali kuhamasisha wanafunzi kuchukua masomo hayo.
Kutokana na hali hiyo Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel imetoa msaada wa Vitabu vya Masomo ya Sayansi vyenye thamani ya Shilingi Milioni Tatu katika Shule ya Sekondari Vianzi iliyopo  Mkuranga Mkoani Pwani ambayo ina zaidi ya...

 

11 months ago

Michuzi

Airtel yatoa vitabu masomo ya sayansi vya thamani ya shilingi milioni 15 kwa shule za sekondari Mbeya

Shule tano kufaidika na vitabu vya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni 5 
Mbeya; Katika kuinua sekta ya elimu nchini , kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetoa msaada wa vitabu vya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa shule 5 za sekondari mkoani Mbeya.
Vitabu hivyo vimetolewa na Airtel kwa kushirikiana na Tulia Ackson foundation kwaajili ya shule za sekondari za Ikuti, Kayuki , Bujeli, Ntaba na Ikupa
Akiongea wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu, Naibu Spika Mh Dkt,...

 

4 years ago

Dewji Blog

Airtel yamwaga vitabu vya sayansi sekondari Singida

AKYOO

Meneja wa Biashara wa Kanda ya Kati Stephen Akyoo (Kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Singida Mwalimu Qeen Mlozi sehemu ya vitabu vya masomo ya Sayansi kwa ajili ya shule nne za sekondari katika Mkoa wa Singida zilizonufaika na msaada huo kupitia mradi wa Kampuni wa shule yetu katika hafla fupi iliyofanyika katika shule ya sekondari Mitunduruni Manispaa ya Singida.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

KAMPUNI ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa shule yetu imefanikiwa kutoa...

 

11 months ago

Mwananchi

Airtel, Dk Tulia wagawa vitabu vya sayansi kwa shule tano za sekondari

Ili kuinua sekta ya elimu nchini, Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel, leo Jumapili Julai 23 imetoa msaada wa vitabu vya sayansi vyenye thamani ya Sh 15 milioni kwa shule tano za sekondari mkoani Mbeya.

 

3 years ago

Michuzi

Airtel yakabidhi vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari Mazinde Day Korogwe

Meneja mauzo Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Aluta Kweka ( kulia) pamoja na Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa kwanza kushoto) akifatia na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Patricia Andrew Mbigili (katikati) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mazinde Day wakionyesha vitabu walivyokabidhi na Airtel ikiwa na lengo la kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu shuleni hapo. Vitabu hivyo vya sayansi vinathamani ya shilingi milioni...

 

3 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MAZINDE DAY KOROGWE‏

Meneja mauzo Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi yaAirtel, Aluta Kweka ( kulia) pamoja na Mkuu wa wilaya yaKorogwe,Hafsa Mtasiwa (wa kwanza kushoto) akifatia na KaimuMkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Patricia Andrew Mbigili(katikati) wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari yamazinde Day wakionyesha vitabu walivyokabidhi na Airtel ikiwa na lengola kutatua changamoto ya uhaba wa vitabu shuleni...

 

4 years ago

GPL

AIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA

Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mkoa wa kilimanjaro Paschal Bikomagu kushoto akimkabidhi baadhi ya vitabu vya sayansi kwa Diwani wa  kata ya Olkokola Joseph laizer  kwa niaba ya shule ya sekondari Mukulati  mkoani arusha  wakati wa mahafali ya 17 ya kidato cha nne ya shule hiyo.…

 

4 years ago

Michuzi

Airtel yatatua changamoto za uhaba wa vitabu vya sayansi Katika shule ya Sekondari Mukulati Mkoani Arusha

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  imeedelea kuungana na serikali katika kusaidia kuboresha maendeleo ya sekta ya elimu  nchini ambapo imetoa vitabu vya ziada na kiada  katika masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari mukulati wilayani Arumeru mkoani Arusha
Licha ya Kada ya sayansi kuwa ndio chimbuko kubwa  la wataalamu wengi katika fani mbalimbali bado  inatajwa kutofanya vizuri kutokana na uhaba wa miundombinu na vifaa stahiki ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kada hiyo. 
Meneja wa Airtel...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani