Ajali adui namba 3 wa sekta ya Afya

MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa afya hapa nchini, anaandika Christina Haule. Dk. Kebwe amesema hayo akifungua warsha ya siku tatu ya masuala ya usalama barabarani kwa waandishi wa Habari wa mkoa wa Morogoro na Dodoma iliyoandaliwa na ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

POMBE: Adui namba moja wa ndoa, afya anayeongeza watoto wa mitaani – 2  

beer-224651Na Hamisa Maganga

MAKALA hii inalenga kuangalia athari za pombe kwa jamii, jinsi inavyochochea masuala ya ukatili kwa wanawake na watoto.

Mwandishi wa makala haya alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wanandoa wanaovumilia vituko vya waume zao walevi, watoto wanaoteseka kwa sababu ya ulevi wa wazazi wao na wale waliovunja ndoa zao.

Mume akilewa ni ngumi na vituko mtaani

 Mama mmoja ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, mkazi wa Mbagala Zakiem, anasimulia jinsi ambavyo mume wake...

 

3 years ago

Mtanzania

Chadema: Zitto ni adui yetu namba moja

MNYIKANa Bakari Kimwanga, Mwanza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, John Mnyika akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi, alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
“Mtume Muhamad...

 

3 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

4 years ago

GPL

Loga amtaja Tambwe adui namba moja Simba

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema litakuwa ni pigo kubwa kuondoka kwa mshambuliaji wake, Amissi Tambwe mwishoni mwa msimu huu.…

 

1 year ago

Mwananchi

Madaktari wacharuka, wamtangaza DC Kilwa kuwa adui yao namba moja

Chama cha Madaktari (Mat) kimewataka viongozi wa serikali, hasa wakuu wa mikoa na wilaya kuacha kuwadhalilisha watumishi wa umma na kumtangaza mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai kuwa adui namba moja wa afya.

 

4 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

4 years ago

Mwananchi

Madini adui yanayoathiri afya

Unaweza kufikiri ni hadithi, lakini ukweli ni kwamba watoto wengi wanaozaliwa kijijini Mtakuja Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wengi wao wamepinda miguu, kuharibika ubongo na wengine kupata meno yenye rangi ya kahawia.

 

7 months ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAPOKEA BIL. 227.76 KUSAIDIA SEKTA YA AFYA NCHINI.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto imepokea shilingi Bilioni 227.76 kutoka kwenye mfuko wa pamoja (Health Basket Fund) kwa ajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za sekta ya afya nchini.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam wakati wa kupokea fedha hizo , Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema kuwa fedha hizo zitaelekezwa katika uboreshaji wa huduma za afya nchini.“Fedha hizi zitasaidia pia kutoa huduma...

 

1 month ago

Michuzi

MAWAZIRI WA AFYA KUTOKA NCHI 10 WAJADILIANA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA AFYA

Na Said Mwishehe,Globu ya Jamii
MAWAZIRI wa Afya kutoka nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini wamekutana nchini Tanzania kwa ajili ya kujadili namna ya kuboresha huduma za afya na hasa katika utambuzi na kubaini magonjwa ya mlipuko.
Pia mawaziri hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika utoaji na usimamizi bora wa huduma za afya.Mbali ya mawaziri pia wadau wa sekta ya afya kutoka kwenye baadhi ya mashirika wameshiriki mkutano huo.
Kupitia mkutano huo wa afya wa 65 nchi zisizo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani