Ajali ya Basi, Hiace Yaua Mwanafunxi Babati

Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara, Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali kati ya basi la Kampuni ya Mtei na basi dogo aina ya hiace katika eneo la Himiti mjini Babati, na kupelekea kifo cha mwanafunzi wa Shule ya Msingi Silver  aliyefahamika kwa jina la Osiligi Paul (3). .

Amesema mwalimu wa Shule ya Silver ambayo zamani ilikua ikiitwa Deborah, Francis Mollel (36) amejeruhiwa kwenye ajali hiyo pamoja na mwanafunzi Lightness Emmanuel (6) na wakala wa Mtei Paul Shilala (28) wamepata...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Ajali ya basi yaua wawili Babati

Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

 

4 years ago

GPL

AJALI YA FUSO NA HIACE YAUA 11 KILIMANJARO

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo. WATU wanne wamefariki dunia na wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya Hai, Kilimanjaro ikihusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Sanya Juu na Moshi baada ya kugongana na Fuso. Hiace likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali. Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, amesema ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi,...

 

3 years ago

Global Publishers

Ajali ya Hiace Yaua Mmoja Songea

ajali (1) Gari lilivyopata ajali.

Songea, Ruvuma

MTU mmoja ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha baiskeli amegongwa na gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace na kufa papo hapo maeneo ya Mfaranyaki mjini  Songea mkoani Ruvuma leo.

ajali (2)Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari la polisi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa, gari hilo lilikuwa na abiria zaidi ya kumi waliokuwa lilikuwa likitoka Songea kwenda Peramiho, na chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo kasi...

 

2 weeks ago

Malunde

: Ajali ya Hiace yaua watu 7 na kujeruhi 12 Kigoma

Watu 7 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la nyuma na kupinduka mkoani Kigoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Martin Ottieno amesema ajali hiyo ilitokea jana saa 12 :15 jioni katika kijiji cha Mlela wilayani Uvinza mkoani humo.
Alisema gari hiyo iliyokuwa inatokea wilayani Uvinza kwenda Kigoma mjini ilipasuka tairi la nyuma upande wa kushoto na kupinduka.

Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Mkoa ya Maweni.

 

4 years ago

BBCSwahili

Ajali ya Basi yaua Tanzania

Watu wengi wanahofiwa kufa katika ajali ya Basi linalosemekana kuangukiwa na Kontena.

 

4 years ago

Mtanzania

Ajali ya basi yaua 42 Iringa

WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...

 

4 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya basi la Unique lenye namba za usajili T 148 BKK lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora lililogongana na lori la Kampuni ya Coca cola. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, Shinyanga. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika ajali hiyo na wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

 

5 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

5 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani