Ajali ya boti yahofiwa kuua saba

BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Sumu yahofiwa kuua watano wa familia moja

WATU watano wa familia moja wakiwemo watoto watatu, wamekufa baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu katika eneo la Kaachini, Kijiji cha Ndareta, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.

 

5 years ago

GPL

BOTI YAZAMA NA KUUA WAKIMBIZI

MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama. Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali wilayani Hoima magharibi mwa Uganda, wakirejea kwao. Kwa sasa Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kutafuta miili zaidi. Kamanda wa polisi wa eneo hilo John Ojukuna amesema watu 43 wameokolewa. Boti iliyozama inadhaniwa kuwa ilikuwa...

 

12 months ago

Malunde

BOTI YAPINDUKA NA KUUA WATU ZIWA VICTORIA

Watu wawili wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakitumia kusafiria kupinduka. Ilipokumbwa na dhoruba kali katika ziwa Victoria, Sengerema jijini Mwanza.

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi, amesema boti hiyo ilikuwa na jumla ya watu watano ambao walikuwa wa wakisafiri kutoka Sengerema kwenda Mwanza, na ndipo ilipokumbwa na dhoruba wakiwa njiani, na kusababisha boti hiyo kupinduka na watu hao kufariki.
“Kuna boti ilikuwa inatoka Sengerema kuja huku Mwanza, ilikuwa imebeba mkaa...

 

5 years ago

Michuzi

BREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma mchana huu.

Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Tisa wahofiwa kuzama ajali ya boti

WAFANYABIASHARA tisa wakazi wa Kijiji cha Mpasa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda nchini Zambia kuzama kwenye eneo la Kipwa. Watu hao walikuwa wakienda...

 

3 years ago

Channelten

Ajali ya Boti watu 15 wamepoteza maisha

te1Sih2E

Watu 15 wamepoteza maisha katika ajali ya boti lililozama mwishoni mwa wiki katika pwani ya Libya na kupelekea kufikisha jumla ya idadi ya watu 100 waliokufa maji baada ya ajali nyingine ya boti kutokea siku hiyo hiyo.

Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa UNHCR linaloshughulikia wakimbizi amesema kuwa boti hiyo lilikua lilibeba watu 120 wakati lilipozama siku ya Ijumaa muda mfupi baada ya kuondoka katika pwani ya Libya, ambapo wengi wa wakimbizi hao wanatoka nchi za Afrika ikiwemo...

 

3 years ago

Mtanzania

Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM

ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto  ikiwa baharini.

Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.

Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...

 

3 years ago

BBCSwahili

Boti iliyopata ajali Ziwa Nyasa yatafutwa

Duru za usalama zinasema Boti hiyo haijulikani ilipo wala abiria waliokuwemo ndani yake

 

11 months ago

BBCSwahili

Watu 50 wafariki kwenye ajali ya boti DR Congo

Watu 50 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya boti kuzama kwenye mto kaskazini mwa nchi hiyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani