Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro

 Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada wa kusaidia mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni dereva wa gari Toyota Noah namba ya usajili T 782 DKV  inayofanya safari zake mji wa Ruaha   Kilosa - Mikumi baada ya gari hiyo kupinduka  eneo la Kijiji cha Lumango, katika  kona kali ya barabara ya Kilombero- Mikumi  katika ajali hiyo hapakutokea kifo chochote na majeruhi wote...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZ: BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI JIONI HII ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

4 years ago

Dewji Blog

Gari aina ya TOYOTA Kluger inauzwa

IMG-20141021-WA0003

MODEL NI YA MWAKA 2002 TOYOTA KLUGER

UWEZO WA ENGINE NI 2360 CC

IMETEMBEA KILOMITA 170000

BEI NI MILIONI 17 MAELEWANO YAPO

MAWASILIANO NI 0713242888

 

5 years ago

Dewji Blog

Gari aina ya Toyota Verossa inauzwa

IMG-20140907-WA0009

Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini

SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NI

MAKER: TOYOTA

MODEL: VEROSSA

YoM:      2001

CC:       1980

Odo:   65,944KM

Color : BURGUNDY

KWA MAWASILIANO

0713327106/0756673327

 

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SIMBA AWAPONGEZA WAOKOAJI AJALI YA MV KILOMBERO, AMALIZA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI MOROGORO.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (katikati) pamoja na ujumbe wake, wakiingia katika lango kuu la kuingilia abiria wakati alipotembelea eneo kilipozama kivuko cha MV Kilombero II na kushuhudia shughuli za uokoaji wa magari, utafutaji miili ya watu na uokoaji wa kivuko hicho ukiendelea. Balozi Simba alifanya ziara ya kikazi mkoani Morogoro kwa kutembelea miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza mkoani humo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

4 years ago

Michuzi

WANUSURIKA KUFA KUFUATIA AJALI YA GARI KIJIJI CHA MWIDU MKOANI MOROGORO

 Camera ya GLOBU ya jamii ikiwa njiani kutoka Morogoro kuelekea jijini Dar,njia ilikutana ajali hii iliyotokea mapema jana kati ya gari ndogo aina ya NOAH ambayo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja kufuatia kuharibika vibaya kutokana na ajali hiyo ya kugongwa kwa nyuma na basi la STAMILI kama lionekanavyo pichani lenye namba za usajili T43CJN lililokuwa likitokea Morogoro kuelekea jijini Arusha,Katika gari ya NOAH hakukuwemo na abiria zaidi ya dereva,ambaye alitoka mzima kama...

 

2 years ago

Michuzi

NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

NAHODHA wa Mabingwa wa kombe la Shirikisho na Kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo ilipotokea ajali hiyo, Dumila katika shamba la Mitiki, zinaarifu kuwa kuna watu wawili ambao bado majina yao hajapatikana wameumia na Mkude kupata majeraha madogo na kupelekwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu zaidi.
 Watu hao walikuwa katika gari aina ya...

 

2 years ago

Michuzi

wanafunzi 34 na mwalimu mmoja katika gari aina ya Noah jijini Dar es salaam leo

Askari wa Usalama barabarani jijini Dar es salaam leo wamekamata gari aina ya NOAH ikiwa imebeba watoto 34 pamoja na mwalimu wao na kufanya jumla ya watu 35 katika gari Wanafunzi hao ni wa darasa la kwanza na pili kutoka shule za Diamond, Olympio, Kisutu, Maktaba na Bunge. Gari hiyo imekamatiwa eneo la mzunguko wa  Gerezani  likielekea Vijibweni-Kigamboni.Dereva na wahusika wa gari hiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

 

5 years ago

GPL

AJALI MBAYA YA NOAH MOROGORO

Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia. Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani