Ajali ya treni yauwa watu 10 Tanzania

Watu 10 wamepoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na treni katika eneo la Gungu, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kaskazini magharibi-Tanzania.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Watu 10 wafariki ajali ya treni na basi Kigoma, Tanzania

Watu 10 wamefariki katika ajali iliyotokea baada ya basi la abiria lililogongana na treni eneo la Gungu katika manispaa ya Kigoma Ujiji, kaskazini magharibi mwa Tanzania.

 

1 year ago

BBCSwahili

Ajali ya barabarani yauwa watu 34 nchini Kenya

Watu 16 wamejeruhiwa wengi wao wakiwa katika hali mahututi, baada ya Basi moja la abiria kugongana ana kwa ana na lori la mizigo, katika maeneo ya barabara ya Sachangwan/ Salgaa

 

4 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: AJALI YAUWA WATU WATANO LUDEWA,WATUMBUKIA MTONI

Globu ya Jamii imepata taarifa kutoka Wilayani Ludewa kuwa kumetokea ajali ya gari katika kata ya Lugarawa ambayo imepelekea vifo vya watu watano leo mchana,walikuwa wakitoka Lugarawa kwenda Shaurimoyo gari ikatumbukia katika mto Lugarawa (kama ionekavyo pichani).Habari zaidi tutawaletea kadiri ya zitakavyopatikana.
Mungu aziliaze roho za marehemu mahali pema peponi-Amina

 

11 months ago

VOASwahili

Mafuriko yauwa watu 10 Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda amesema.

 

1 year ago

BBCSwahili

Watu 37 wafariki kwenye ajali ya treni DRC

Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya treni.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Watu 33 wafariki dunia kwenye ajali ya Treni

Takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya treni  katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba.

Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema treni hiyo ilianguka kisha kuwaka moto.

Gavana wa jimbo la Lualaba Richard Muyej ameiambia BBC kwamba kuna ajali iliyotokea lakini haifahamiki ni watu wangapi waliofariki.

The post Watu 33 wafariki dunia kwenye ajali ya Treni appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

VOASwahili

Ajali ya treni Cameroon yasababisha vifo vya watu 76

Rais Paul Biya atangaza Jumatatu siku ya maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya treni iliyosababisha vifo vya watu 76 na 500 kujeruhiwa.

 

2 years ago

Mwananchi

Watu wawili wafariki ajali ya daladala kugonga treni

Watu wawili wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika  ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster kukigonga kichwa cha treni maeneo ya Yombo Devis Kona.

 

2 years ago

BBCSwahili

Karibu watu 100 wafariki kwenye ajali ya treni India

Idadi ya watu waliyofariki kutokana na ajali ya treni iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India, imeongezeka hadi tisini na tisa na kuwajeruhi mamia ya wengine.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani