Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Mwanachuo ajinyonga hadi kufa kwa kutumia tai

Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tabora kinachojulikana kwa jina la Uhazili,  Raphael Kadesha miaka 22  amejinyonga hadi kufa kwa kutumia tai ya kuvaa shingoni.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Graifton Mushi amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea jana saa 4 asubuhi ambapo marehemu alifunga tai juu ya kitanda chake na kujinyonga kwa sababu ambazo hadi sasa bado hazijabainika na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kujua nini kilimfanya mwanachuo huyo kuchukua...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Ajinyonga hadi kufa kwa tuhuma za wizi wa Bata.

Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina Constansia James mkazi wa kijiji cha Kisorya, tarafa ya Nansimo wilaya ya Bunda, amejiua kwa kujinyonga baada ya tuhuma za wizi wa Bata.

Imeelezwa kuwa Marehemu aliiba bata huyo kwa jirani yake aitwaye Venaida Charles ambapo baada ya kufuatiliwa aligundulika yeye ndiye mwizi na aliamuriwa kulipa fidia kwa jirani yake, na ndipo alipoamua kujinyonga masaa machavhe baada ya hukumu hiyo.

Afisa Mtendaji wa kata ya Kisorya, Revocutus Luheneja amesema kifo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ajichoma moto hadi kufa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI wa Malolwa wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, Ndekile Sunguli (38) amejiua kwa kujichoma moto ndani ya nyumba yake kwa wivu wa mapenzi. Kifo hicho kilitokea Septemba 29 mwaka huu...

 

1 year ago

Malunde

AJINYONGA HADI KUFA KWA KUTUHUMIWA KUIBA BATA WA JIRANI YAKE


Mwanamke Costansia Kadogo James (37), mkazi wa kijiji na kata ya Kisorya, tarafa ya Nansimo wilaya ya Bunda mkoani Mara, amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba.

Mama huyo alijinyonga baada ya kutuhumiwa kuiba bata mmoja, mali ya jirani yake na kusababisha vifaranga vinne kati ya saba vya bata huyo kufa na kutakiwa wazazi wake wamlipe fidia mwenye bata.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kisorya, Revocatus Luheneja, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi katika kijiji cha Kisorya kati ya saa kumi na...

 

3 years ago

Bongo5

Mwinjilisti ajinyonga hadi kufa baada ya kumuua mwanaye kwa madai alikuwa anafanya ufuska

Mwinjilisti wa Kanisa la African Inland Church (AICT), Charles Kazereng’wa (45), amejinyonga hadi kufa, baada ya kumuua mwanaye, Malita Charles (15) kwa kumpiga akimtuhumu kujihusisha na ufuska.
kitanzi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Mponjoli Rodson amelithibitishia gazeti hili kutokea kwa matukio hayo juzi jioni.

Hata hivyo, alisema kuwa asingeweza kulizungumzia suala hilo kwa undani kwa sababu alikuwa kwenye sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa inafanyika...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Amuua mkewe nayeye kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi, Ahmed Msangi ametoa taarifa za mauaji yaliyofanywa na John Ntemi (23) mkazi wa Kijiji cha Mahaha ambaye anatuhumiwa kumuua mkewe Casta Edward kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu za mwili wake kisha na yeye mwenyewe kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme wilayani Magu. Kamanda Msangi amesema inadaiwa wawili hao walikuwa wanaishi peke yao na kabla ya tukio hilo kutokea wanandoa hao walikuwa wakiishi kwa amani na...

 

3 years ago

Mwananchi

Watatu wauwawa kwa visu, mwingine ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Watu watatu wamefariki dunia kwa kuchomwa visu katika katika matukio na nyakati tofauti wilayani Tarime, Mkoa wa Mara.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ajinyonga hadi kufa Dar

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema juzi saa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Ajinyonga hadi kufa kisa mapenzi

Mwanaume mmoja mkazi wa kitongoji cha Ndondobya kijiji cha Fubu, Kyela mkoani Mbeya, Labson George miaka 22, amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio kwa madai aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu kukataa kuoana naye. Akithibitisha tukio hilo mwenyekiti wa Kijiji hicho, Abdul Mwamafupa, alisema kijana huyo alikuwa na uhusiano wa muda mrefu na Violet Joseph na inadaiwa alipomweleza kuwa waoane, alikataa na ndipo George alimnyang’anya mtandio na kutokomea kusikojulikana hadi alipokutwa saa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani