AJIRA 10,140 ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI KUTOLEWA JUNI

Serikali imesema Juni 30, 2018 inatarajia kutoa ajira 10,140 za walimu wa shule za msingi nchini.
Hayo yamesemwa leo Mei 2, 2018 Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Ludewa (CCM), Deogratius Ngalawa.
Katika swali lake, Ngalawa alitaka kupata majibu ya Serikali kuhusu upungufu wa walimu 500 wa shule za msingi na jinsi litavyoshughulikiwa.
Akijibu swali hilo, Kakunda amesema; "Tunaendelea na mchakato kwa kushirikiana na...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

ANGALIA HAPA MAJINA : AJIRA ZA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI MACHI 2018
Bofya hapa chini kuangalia ajiraBofya hapa↠↠Ajira Mpya ya Walimu Shule za Sekondari Kuziba Nafasi WaziBofya hapa↠↠Taarifa ya Kujaza Nafasi za Walimu wa Ajira Mpya za Walimu ambao Hawakuripoti Mwezi Desemba, 2017Bofya hapa↠↠Ajira Mpya ya Walimu Shule za Msingi Kuziba Nafasi Wazi


 

5 years ago

Michuzi

AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- TAMISEMI
  A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-


i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania...

 

4 years ago

TZtoday

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

                           OFISI YA WAZIRI MKUU  

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)

 

AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya       

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-

i.                 walimu wa cheti (Daraja IIIA)...

 

1 year ago

Malunde

SERIKALI KUMWAGA AJIRA ZA WALIMU 6000 MWEZI JUNI

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema hadi kufikia Juni 30 mwaka huu inatarajia kuajiri walimu 6,000 wa masomo ya Hisabati na Sayansi kwa ajili ya shule za sekondari nchini.

Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Joseph Kakunda, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali, ambaye alitaka kujua mikakati ya serikali katika kuondoa changamoto katika shule za kata ikiwamo upunguzu wa walimu...

 

4 years ago

Mwananchi

Walimu wa michezo wanahitajika shule za msingi

Ni kweli michezo ni burudani, ila kutokana na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, michezo ni kipaumbele katika kutoa ajira pana, kukuza biashara na kujenga jamii bora yenye maelewano.

 

2 years ago

Malunde

News Alert!! SERIKALI YATOA AJIRA KWA WALIMU 3,081....ANGALIA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017

Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wakiwemo walimu 7 wa shule ya Sekondari Omumwani Kagera, wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu 1.048 kati ya nafasi 4,129 za walimu wa Sayansi na Hisabati zilizotolewa kibali cha ajira.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akizungumza na Waandishi Habari,ofsini kwake ambapo amewataka walimu wote walioajiriwa wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao...

 

4 years ago

Mwananchi

Walimu wageuka wazazi Shule ya Msingi Mapambano

Shule ya Msingi Mapambano imetimiza miaka 35 tangu ilipoanza, ikiwa na wanafunzi 150 na walimu watano. Kwa sasa ina wanafunzi 403 na walimu 22.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani