Albert Msando ajikosha baada ya video yake chafu na Gigy Money kusambaa

Mwanasheria maarufu Tanzania Albert Msando amewaomba radhi ndugu, jamaa pamoja na mashabiki kufuatia kusambaa kwa video yake chafu mtandaoni inayomuonyesha akishikana na video queen, Gigy Money.

Msando amesema kuwa akikaa kimya kwa kitendo hicho atakua mnafiki hivyo anawaomba radhi wote aliowakwaza na walio kereka na video hiyo ambayo alipokelewa vibaya na mashabiki wengi mtandaoni.

“Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo Movies

Gigy Afunguka A-Z Kuhusu Picha Zake Chafu na Mwanasheria Msando (Video)

Baada ya weekend hii kusambaa video chafu ikimuonyesha mwanasheria nguli, Albert Msando akishikana shikana na video vixen, Gigy Money na kuzua taharuki mitandaoni, Gigy amefunguka kuzungumzia sakata hilo A-Z.

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Gigy amedai wakati akirekodi video hiyo na kuisambaza mtandaoni mwanasheria huyo aliridhia.


“Jumapili hii nilienda Arusha na kile mlichokiona ilikuwa ni safari ya mimi nikitokea Moshi kwenda Arusha. Mimi nilitoka kwenye show Boma nikaenda Moshi kabisa...

 

2 years ago

Bongo5

Kajala akanusha binti yake kuharibikiwa kimaadili, ni baada ya video chafu inayodaiwa ya Paula kusambaa mtandaoni

Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari.

Kijala na binti yake Paula

Awali ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja hali ambayo ilimfanya muigizaji huyo kukanusha uvumi huyo.

Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika:

Hey everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu...

 

1 year ago

Bongo Movies

Msando Awafungukia Gigy Money na Amber Lulu

Mwanasheria machachari na kipenzi cha wasanii wengi Albert Msando ambaye mara nyingi hujitokeza kuwatetea kwenye masuala ya kisheria, amefunguka kuhusu kuwa karibu na Gigy Money na Amber Lulu, ikiwa mmoja wao alishampa skendo chafu.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio, Albert Msando amesema anawakubali wasanii hao kwa sababu ni mabinti ambao wanapigana kupambana na maisha.

“Bado nawakubali kama wasanii, nawakubali kama watu ambao wanapambana kwenye maisha, kwa...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Albert Msando afunguka baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli

Mwanasheria Albert Msando amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuamini na kumteua kuwa miongoni mwa watu 9 ambao watakuwa na jukumu la kufuatilia na kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kote nchini.

Albert Msando ameandika ujumbe huo wa shukrani kwenye ukurasa wake wa instagram, na kusema kwamba anaamini kazi hiyo itafanyika kwa weledi.

“Namshukuru Mh. Dkt. John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uteuzi...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Baada ya katambi, Albert Msando na Lawrence Masha wakimbilia CCM

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha ameomba kupokelewa katika chama chake cha zamani cha CCM alichokihama wakati wa Uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Lawrence Masha

Lawrence Masha amejiunga leo jumanne na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika vikao vya Chama hicho vinavyoendelea Ikulu jijini Dar es salaam  na kusema kuwa ”Nimekuja hapa kuwaombeni mnipokee mwana mpotevu nimerudi, Niko imara na nitakuwa mwaminifu kwa CCM.”

Naye, Wakili Msomi aliyewahi kuwa mshauri wa Chama cha ACT Wazalendo,...

 

5 years ago

GPL

3 years ago

Bongo5

Picha: Baada ya Rich Mavoko kukana kutoka kimapenzi na Gigy Money, Gigy aanika chat zao

Giggy-Money

Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.

Giggy-Money

Gigy Money, alipost instagram chat hizo na kila moja kuiandika ujumbe wake. Hata hivyo baade alizifuta post hizo.
Gigy

“Mimi mwenyewe sikujui vilevile” aliandika Gigy.

2
“Ahahhahaha unajua mavoko ntakudhalilishaaa ….mm ni mkimyaaa tu sio Mpole ata kidogo …unajikuta umenisahau bwege ww” aliandika Gigy.

3

“Banduguuuuuu...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Video nyimbo mpya baada ya ‘Papa’ Gigy Money amekuja na ‘Mimina’

Baada ya kuvuma na ngoma yake iliyokwenda kwa jina la ‘Papa’ msanii Gigy Money ameachia nvideo ya nyimbo nyake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Mimina’

The post Video nyimbo mpya baada ya ‘Papa’ Gigy Money amekuja na ‘Mimina’ appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Bongo5

Msanii mchanga aeleza alivyomnasa Gigy Money na kumtumia kwenye video yake

Msanii mchanga wa muziki wa kizazi kimya Donny flavour aeleza jinsi alivyompata Gigy Money na kuwa video queen kwenye video yake ya wimbo ‘Twende Nyumbani’.

Muimbaji huyo amedai Gigy Money ni mtu mzuri sana tofauti na watu wanavyomfikia.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani