Alexis Sanchez ajiandaa kuondoka, Arsenal yamlenga mchezaji wa Brazil

Mshambualiaji wa Arsenal Alexis Sanchez ataondoka katika klabu hiyo mwezi huu iwapo ombi la kuvutia litawasilishwa huku mchezaji anayechukua mahala pake akipatikana

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Arsenal yahofia kumkosa Alexis Sanchez

Alexis Sanchez

Alexis Sanchez

LONDON, ENGLAND           

KLABU ya Arsenal imeingia wasiwasi kumkosa mshambuliaji wao, Alexis Sanchez, katika michezo ya mwanzo ya msimu mpya wa Ligi Kuu.

Mchezaji huyo hadi sasa bado hajaungana na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya msimu mpya kutokana na kusumbuliwa na enka.

Matatizo hayo aliyapata katika mchezo wa mwisho wa fainali ya Kombe la Copa America, huku timu yake ya taifa ya Chile ikiibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wapinzani wao Argentina.

Mchezaji huyo...

 

3 years ago

Mtanzania

Alexis Sanchez kurejea Arsenal dhidi ya Liverpool

sanchezLONDON, England

MATUMAINI ya kocha wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger, kumtumia Alexis Sanchez katika michuano ya FA kwenye mchezo dhidi ya Sunderland yameyeyuka kutokana na hali ya kiafya inayomsumbua mchezaji huyo.

Hivyo hali hiyo huenda ikasababisha kuchelewa hata kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool unaotarajiwa kuchezwa wiki ijayo, ingawa itakuwa tofauti na matarajio ya kocha wa timu hiyo.

Wenger alihitaji kumjumuhisha mchezaji huyo katika wachezaji wa akiba watakaoanza...

 

4 years ago

Bongo5

Picha: Hatimaye Alexis Sanchez Amejiunga na Arsenal

Mshambuliaji Alexis Sanchez Nyota kutoka Chile mwenye miaka 25 amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 30 kutoka Barcelona kwenda Arsenal wanaamini atawasaidia ili kuweza kupata ubingwa wa Ligi Kuu ya England Nyota huyo wa Chile ambaye amesain mkataba wa miaka minne huku kukiwa na kipengele cha kuongeza miezi 12 na mshahara utakuwa paundi laki moja na […]

 

1 year ago

BBCSwahili

Alexis Sanchez aisaidia Arsenal kuilaza Fc Cologne

Alexis Sanchez aliisaidia Arsenal kutoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Ujerumani Cologne katika mechi ya Yuropa iliocheleweshwa kwa saa moja kutokana na matatizo ya mashabiki

 

1 year ago

Mwanaspoti

Monaco waiibukia Arsenal kumsajili Alexis Sanchez

Klabu ya Monaco inajipanga kuiibukia Arsenal kwa dau la Pauni 45 milioni kwa ajili ya kumsajiri mshambuliaji wake Alexis Sanchez.

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester City wanamtaka Alexis Sanchez wa Arsenal

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile alifungia Arsenal mabao 24 Ligi ya Premia msimu uliopita lakini mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu.

 

2 years ago

Bongo5

Alexis Sanchez ndiye mchezaji bora kombe la Copa America

Mchezaji wa timu ya taifa ya Chile na klabu ya Arsenal, Alexis Sanchez amefanikiwa kuibuka kuwa mchezaji bora kwenye mashindano ya Copa America yaliyomalizika alfajiri ya Jumatatu kwenye uwanja wa MetLife mjini New Jersey baada ya mchezo wa fainali kati ya Chile na Argentina.

Afisa-wa-Muhimbili

Mashindano hayo yalikuwa yakifanyika nchini Marekani na kushuhudia Chile wakifanikiwa kunyakua kombe hilo kwa kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-2 na kuweka rekodi ya kuifunga timu hiyo ya Argentina mara ya pili...

 

9 months ago

BBCSwahili

Arsene Wenger amlilia Alexis Sanchez kusalia Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa uamuzi wake wa kumchezesha Alexis Sanchez kama mchezaji wa ziada dhidi ya Chelsea siku ya Jumatano hauna uhusiano na uvumi kuhusu uhamisho wake

 

2 years ago

Habarileo

Wenger ajiandaa kuondoka Arsenal

ARSENE Wenger anajiandaa kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu, imefahamika.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani