Ali Kiba aeleza jinsi ‘alivyommiss’ dada yake Diamond, Queen Darleen

Msanii wa muziki Alikiba amefunguka kwa kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen.
Diamond, Ali Kiba na Queen Da

Ali Kiba na Darleen walikuwa washkaji zamani, ambapo Queen Darleen aliwahi mshirikisha Ali Kiba katika wimbo wake, ‘Wajua’ ambao ulifanya vizuri sana.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatatu hii, Ali Kiba alifunguka kwa kusema yeye mwenyewe anamkumbuka Queen Darleen sababu kuna vitu walikuwa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Queen Darleen Amfungukia Ali Kiba

Abdul ‘Queen Darleen’

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA

FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa hajawahi kumkosa (kummisi) staa mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba ambaye kitambo alikuwa mshkaji wake wa karibu.

Ali KIba na Abdul Kiba

Akipiga stori na Show Biz Xtra,Queen Darleen alisema kuwa, mara ya mwisho kuwasiliana na Kiba ni miaka mingi iliyopita na wala hashangazwi na kushtushwa na ukimya huo kwa kuwa huwa anamuona...

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND AELEZA BIFU YAKE NA ALI KIBA ILIVYOSUKWA ‘KUMUUA KIMUZIKI’

Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.

Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na Lil Ommy wa Times FM, ambapo amedai kuwa uhasama huo ulikuwa miongoni mwa mbinu za muda mrefu zilizoshindwa za kutaka kumuua kimuziki.

Amesema kuwa baada ya kugundua mbinu hiyo, alikutana na Ali Kiba jijini Nairobi na akazungumza naye kuhusu hilo na wakakubaliana hakuna tofauti kati yao.

Diamond ambaye...

 

2 weeks ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

1 year ago

Malunde

ALI KIBA AELEZA SABABU YA KUMGEUZIA MKONO DIAMOND MSIBA WA MASOGANGE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuhusu namna alivyosalimiana na msanii mwenzake, Nassib Abdul au Diamond kwa kumgeuzia mkono walipokutana katika msiba wa Masogange kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walipokutana, Alikiba badala ya kumpa kiganja cha mkono kama ilivyozoeleka, alimpa mkono kwa kuugeuza jambo ambalo liliibua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 11, 2018 katika kipindi cha 360 kinachorushwa na...

 

3 years ago

Bongo5

Queen Darleen aeleza anakuja na mtindo gani akiwa ndani ya WCB

Msanii mpya wa WCB, Queen Darleen ‘Queen wa WCB’ amefunguka na kusema kuwa akiwa ndani ya WCB atafanya muziki wa kila aina ilimradi mkono uende kinywani.
Queen wa WCB

Muimbaji huyo ambaye pia ni dada ya rais ya label hiyo, Diamond Platnumz, ameiambia Bongo5 kuwa ataimba Mchiriku, Hip Hop na muziki wowote ilimradi apate pesa.

“Mashabiki wangu wategemee vitu vizuri mimi naimba, nachana, nitaimba Singeli, Mchiriku na nitaimba kila style nikiwa WCB ilimradi nipate pesa ya kula na maisha yaende na mashabiki...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

4 years ago

GPL

BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA

Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul Diamond, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul Diamond, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul Queen Darleen sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond). Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa anakuja...

 

2 years ago

Bongo Movies

Queen Darleen Afungukia Mahusiano Yake na Alikiba

Msanii wa bongo fleva Queen Darleen amefunguka na kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba kama ambavyo watu wanazungumza na kusema ameshaambiwa anatoka kimapenzi na watu kibao akiwepo hata Diamond Platnumz ambaye ni ndugu yake.

Akiongea kwenye kipindi cha eNewz cha EATV, Queen Darleen amesema mara nyingi watu wakiona anakuwa karibu na mtu fulani huwa wanahisi kuwa ni mtu wake na hiyo ni kutokana na ukweli kwamba watu hawamjui mtu wake.

“Alikiba siyo bwana wangu na wala...

 

3 years ago

MillardAyo

Mwasiti katusogezea Video yake mpya ‘Sema Nae’ ndani yumo Queen Darleen

Msanii Mwasiti amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Sema Nae’ ndani akiwa kamshirikisha staa mwenzake Queen Darleen. Karibu uitazame hapa mtu wangu.     Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze […]

The post Mwasiti katusogezea Video yake mpya ‘Sema Nae’ ndani yumo Queen Darleen appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani