Ali Kiba, Sallam Wametoka Mbali

Wiki mbili zilizopita, Ali Kiba alikuwa mmoja kati ya mastaa wa muziki waliopafomu kwenye Tamasha la Rock lililofanyika Viwanja vya Golf, Mombasa.

saLLAM NA KIBA
Katika tamasha hilo lililokuwa na staa kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ kutoka Nigeria liligeuka kuwa na sintofahamu baada ya Ali Kiba kupanda na kupafomu nyimbo mbili tu, ikiwemo Mac Muga kisha kuzimiwa kipaza sauti.
Malalamiko ya Ali Kiba (pichani juu) juu ya tukio hilo aliyaelekeza moja kwa moja...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN AKUTANA NA WIZARA MBALI MBALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugona Uvuvi   kuhusu  utekelezaji wa Programu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugona...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKABIDHI VIFAA MBALI MBALI VYA UJENZI KATIKA JIMBO LA KITOPE

Wananchi wameendelea kutahadharishwa kuwa macho na tabia ya baadhi ya wanasiasa wenye hulka ya kushawishi jamii kutoshiriki harakati za maendeleo na ustawi wa jamii kwenye maeneo yao kwa sababu tu ya itikadi ya kisiasa.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya uwezekaji wa majengo ya Maabara na Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni iliyomo ndani ya Jimbo la Kitope Wilaya ya Kaskazini “ B”.
Balozi Seif ambae pia ni...

 

4 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

4 years ago

Michuzi

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6


KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

4 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE, DOWN TOWN SILVER SPRING, VIP PACKAGE ZINAPATIKANA, FREE PARKING.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani