ALI MAYAYI ATOA VIPAUMBELE VYAKE ENDAPO ATAPATA URAIS TFF

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5

January Makamba akitangaza nia ya Urais leo. Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar. Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama. Mhe. January ametangaza… ...

 

1 year ago

Channelten

Donald Trump atoa ufafanuzi kuhusu Vipaumbele vyake katika sera za kigeni pindi akiingia madarakani

Was8958386

Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ametoa ufafanuzi juu ya vipaumbele vyake katika sera zake za kigeni katika mahojiano na gazeti la Times la Uingereza na gazeti la Bild la Ujerumani.

Trump amesema anataka mipango ya biashara yenye usawa kwa Marekani pamoja na nchi nyingine duniani hususani China na kwamba katika uongozi wake anatilia mkazo suala la biashara yenye tija zaidi kuliko biashara huru.

Aidha Bw. Trump amerudia na kusisitiza kwamba kampuni kubwa za kibiashara nchini Marekani...

 

3 years ago

Vijimambo

BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -MBEYA ,ATOA VIPAUMBELE VYAKE.

Bi. Chikulupi Njelu Kasaka Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Mbeya Bi. Chikulupi Njelu Kasaka (Kushoto) akikabidhiwa Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Mbeya na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Bi. Aida Mamu Kushoto ni Bw. Moses Mwakibinga Katibu wa Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Chunya, Bi. Chikulupi Njelu Kasaka (Kushoto)  na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Bi. Aida Mamu Baada ya kukabidhiwa Fomu

                  MFAHAMU BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA

*Anaitwa...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania

 Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar. Balozi Amina Salum Ali katikati akifafanua jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.kushoto yake ni Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo...

 

3 years ago

Vijimambo

Maalim Seif kuviunda upya vikosi vyua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar endapo atapata ridhaa ya wananchi

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Wafuasi wa CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Wafuasi wa CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Mkurugenzi wa mawasiliano wa Timu ya Ushindi (CUF) Ismail Jussa Ladhu akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya Mkele Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF...

 

1 year ago

Bongo5

Jihan aeleza atafanya nini endapo atapata nafasi ya kuwa video queen kwenye video ya staa wa Bongo

Miss Universe 2016 na mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014, Jihan Dimach amesema akipata nafasi ya kuwa video queen kwenye video yoyote ya msanii wa Bongo ataonyesha kitu tofauti na sio kucheza cheza kama video queens wengine wanavyofanya.
jihan

Mrembo huyo ambaye anajipanga kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya dunia ya Miss Universe, amesema anapokea ofa nyingi kutoka kwa wasanii lakini kuna vitu wanashindwana.

“Mimi nataka nikionekana kwenye video niwe tofauti na wale video queen wa...

 

3 years ago

Mtanzania

Manji ataja vipaumbele vyake

Manji_fullNA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.

“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...

 

7 months ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AELEZEA VIPAUMBELE VYAKE

 Waziri wa Madini, Angellah Kairuki  (kushoto) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake (hawapo pichani) Kulia ni Naibu  Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Sehemu ya  watendaji wa Wizara ya Madini wakifuatilia maelekezo  yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Madini, Angellah KairukiNaibu  Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kulia)  akifafanua jambo katika kikao hicho. Kushoto ni Waziri wa Madini, Angellah Kairuki.


Sehemu ya watumishi wa Wizara ya Madini, Makao Makuu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani