Alichoandika Manara baada ya Ubingwa wa Yanga na kuhusu FIFA

Saa kadhaa baada ya Yanga kukabidhiwa kombe kama Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2016 – 2017, Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Simba Haji Manara ameamua kuwakumbusha Yanga kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram. May 20, 2017 Haji Manara ametumia ukurasa wake kuwaeleza Yanga kuwa Simba hawajakata tamaa kuhusu kudai Point […]

The post Alichoandika Manara baada ya Ubingwa wa Yanga na kuhusu FIFA appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz

DOGOOOO

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016  Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz. Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya […]

The post Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz appeared first on...

 

3 years ago

Habarileo

Rais Fifa atia ubani ubingwa wa Yanga

RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka Yanga ya Dar es Salaam, kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2015/16. Yanga imetwaa ubingwa huo kwa msimu wa pili mfululizo, lakini ikiwa ni mara ya 26 tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara mwaka 1965.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya Yanga kutoomboleza msiba wa Bonny, Manara wa Simba kanena

Moja kati ya habari kubwa za michezo ambazo zimekuwa zikizungumzwa na kujadiliwa sana katika mitandao ya kijamii kuanzia jana February 18 hadi leo ni kuhusiana na Yanga kutosimama kwa dakika moja au kuvaa vitambaa vyeusi mikononi kuomboleza msiba wa mchezaji wa zamani Godfrey Bonny Ndanje. Kama ambavyo imezoeleka katika soka kiongozi wa soka au mchezaji […]

The post Baada ya Yanga kutoomboleza msiba wa Bonny, Manara wa Simba kanena appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa FIFA kwa Kili Queens baada ya kushinda ubingwa wa CECAFA Woman Challenge

Pongezi kwa timu ya wanawake ya Tanzania Bara ya Kilimanjaro Queens zimeendelea kumiminika kwa kupokea salamu kutoka kwa watu, taasisi na mashirika mbalimbali baada ya kushinda Kombe la CECAFA Woman Challenge kwa kuifunga Kenya, goli 2-1.

Moja ya taasisi kubwa duniani ambayo imetuma salamu kwa Kilimanjaro Queens ni Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), kwa kutuma ujumbe wa pongezi kwa Kilimanjaro Queens kupitia kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF).

Salamu za FIFA zimetumwa kupitia ukurasa wa...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark

Baada ya habari za mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu ya Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza, Haji Manara wa Simba ameuanzisha huu utani huku ikiaminika kwa sasa Okwi anarudi Simba. Mkuu huyu wa idara ya habari na mawasiliano Simba baada ya taarifa za ujio wa Okwi […]

The post Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Gianni Infantino ameandika Barua ya kuipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo. isome barua hiyo hapo chini.

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Dakika 14 za Haji Manara akizungumza kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Yanga

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara jumatatu ya Februari, 27 amefanya mkutano na waandishi wa habari, ikiwa ni siku mbili tangu Simba na Yanga zilizokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Katika mkutano huo Manara alizungumza mambo mbalimbali kuhusu mchezo huo lakini pia kuwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuisapat timu yao ili waweze kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani