Alichoandika Waziri Nape Nnauye kuhusu mwimbaji Alikiba

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye anafatilia kila kinachoendelea kwenye idara ya sanaa ambapo ameona pia kilichotokea kwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba weekend hii aliyekabidhiwa tuzo yake ya MTV EUROPE huko Johannesburg South Africa. Baada ya kuona hiyo habari kubwa ya Alikiba, Waziri Nape Nnauye aliandika kwenye page yake ya Twitter >>> “Kiba! Big Up! […]

The post Alichoandika Waziri Nape Nnauye kuhusu mwimbaji Alikiba appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

Alikiba Ampagawisha Waziri Nape Nnauye

Msanii Alikiba ambaye leo ameachia remix ya wimbo wake wa ‘Aje’ ameonesha kumkosha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kiasi cha Waziri huyo kusema kuwa Alikiba ni kati ya wasanii wanaofanya ajisikie fahari kuwa Waziri

Mh. Nape Nnauye

Mhe. Nape Nnauye amesema hayo leo baada ya msanii huyo kukabidhiwa tuzo yake katika kituo kimoja cha Television nchini Afrika Kusini na kuachia kazi yake mpya ambayo imeonesha kuwakosha watu wengi.

“Kiba! Big Up! Am so proud of you! we...

 

2 years ago

Bongo Movies

Waziri Nape Nnauye Afunguka Kuhusu Wasanii Kutumia Madawa

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na majina makubwa lakini mfukoni hawana kitu.

NAPE-NNAUYE

Mhe. Nape Nnauye

Mhe. Nape Nnauye aliyasema haya kwenye kipindi cha Saturday Sports kinachorushwa na East Africa Radio kila siku za Jumamosi kuanzia saa kumi Alasiri mpaka kumi na mbili jioni. Waziri alidai moja ya sababu kubwa inayowachanganya wasanii wengi...

 

3 years ago

MillardAyo

Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba

Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol amezimiliki headlines za Tanzania kwa zaidi ya saa 20 zilizopita baada ya tweet aliyoiandika kwa mwimbaji Alikiba ambayo imeonekana kuwa na utata, utata uliopelekea na Alikiba kumjibu… kwenye video hapa chini Ben Pol ameeleza kila kitu tunachotakiwa kukifahamu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA WAZIRI WA HABARI NAPE NNAUYE KUHUSU MADAI YA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS MEDIA NA ASKARI WENYE SILAHA

Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kesho Machi 20, 2017 atakwenda katika Ofisi za Clouds Media Group kujua kilichotokea baada ya kuwapo taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa ofisi hizo zilivamiwa.


Taarifa hizo zinadai kuwa ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni B Dar es Salaam, zilivamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Usiku wa Machi 17 mwaka huu.
Taarifa hizo ambazo hazijathibitishwa bado zinaenda mbali...

 

2 years ago

MillardAyo

Alichoandika mwimbaji Christina Shusho kwa Paul Makonda

Christina Shusho ni moja kati ya waimbaji maarufu wa muziki wa injili Tanzania ambao wamefanikiwa kufikisha pia kazi zao nje ya Tanzania. Christina amekuwa na utaratibu wa kuandika jumbe kwa baadhi ya viongozi na watumishi mbalimbali wa dini. Leo Jan 16 ametumia ukurasa wake wa Instagram na kumuandikia mkuu wa mkoa wa Dar es laam, […]

The post Alichoandika mwimbaji Christina Shusho kwa Paul Makonda appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA NAPE NNAUYE KUHUSU CCM

Usiku wa kuamkia Leo  Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM.
“Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE.
“Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo,...

 

2 years ago

MillardAyo

Unachotakiwa kujua kutoka kwa Nape Nnauye kuhusu CCM

Usiku wa April 25 2017 Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia tiketi ya CCM Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM. Nape ametumia ukurasa wake wa twitter kupost screen shot […]

The post Unachotakiwa kujua kutoka kwa Nape Nnauye kuhusu CCM appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani