Alichojibu Cristiano Ronaldo kuhusu mpango wa kuwa kocha baada ya kustaafu

Yawezekana imekuwa shauku ya watu wengi kusikia majibu ya staa wa Real Madrid ambaye ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia ya FIFA 2016 kuhusu kazi ambayo ataifanya baada ya kustaafu kucheza soka.

Cristiano Ronaldo amemaliza maswali ya watu wengi kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuwa kocha labda jambo hilo litokee kwa baadae lakini kwa sasa hajalifikiria.

“Ni ngumu sana, siwezi kujua nini kitatokea baadae lakini kwa sasa sijioni kama nitakuja kuwa kocha,” alisema Ronaldo wakati akifanya mahojiano na mtandao wa FIFA.

Kwa vipindi tofauti tofauti kumekuwepo na taarifa ambazo zimekuwa zikimshusha Ronaldo kuwa ataingia katika uigizaji baada ya kustaafu lakini likiwa ni jambo ambalo bado halijathibitishwa.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Dewji Blog

Alichojibu Cristiano Ronaldo kuhusu mpango kuwa kocha baada ya kustaafu

Yawezekana imekuwa shauku ya watu wengi kusikia majibu ya staa wa Real Madrid ambaye ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia ya FIFA 2016 kuhusu kazi ambayo ataifanya baada ya kustaafu kucheza soka.

Cristiano Ronaldo amemaliza maswali ya watu wengi kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuwa kocha labda jambo hilo litokee kwa baadae lakini kwa sasa hajalifikiria.

“Ni ngumu sana, siwezi kujua nini kitatokea baadae lakini kwa sasa sijioni kama nitakuja kuwa kocha,” alisema Ronaldo wakati...

 

5 months ago

MillardAyo

Kazi atakayofanya Cristiano Ronaldo baada ya kustaafu soka

4bac6d732ceaed5022219a4bbac06a0a

Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo. Ronaldo ameongea mambo katika interview yake ya FourFourTwo lakini moja kati ya vitu alivyoongea ni kitu gani angependa kufanya baada ya kustaafu soka “Maisha […]

The post Kazi atakayofanya Cristiano Ronaldo baada ya kustaafu soka appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Kocha Laszlo Boloni: Cristiano Ronaldo ni hatari juu na chini

Nyota Cristiano Ronaldo alianza kucheza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza katika Ligi Kuu akiwa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno baada ya kupewa nafasi na kocha Laszlo Boloni aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo.

 

1 year ago

MillardAyo

Hasira za mashabiki wa Cristiano Ronaldo baada ya kushindwa Ballon d’Or…

Usiku wa January 11 Staa wa Barcelona Lionel Messi aliandika historia nyingine baada ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya tano akiwashinda wapinzani wake Cristiano Ronaldo pamoja na Neymar. Mashabiki wa Cristiano Ronaldo katika mji wa Madeira alipozaliwa staa huyo hawakufurahishwa na ushindi wa Messi..walichofanya waliamua kwenda kwenye sanamu lake lililopo katikati ya […]

The post Hasira za mashabiki wa Cristiano Ronaldo baada ya kushindwa Ballon d’Or… appeared first on...

 

4 months ago

MillardAyo

Ujumbe wa Ronaldinho kwa Cristiano Ronaldo baada ya ushindi wa Ballon d’Or

screen-shot-2016-12-13-at-5-18-36-am

Jumatatu ya December 12 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, staa huyo wa Ureno December 12 ndio siku rasmi aliyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016. Baada ya ushindi huo wa tuzo ya nne ya Ballon d’Or, staa […]

The post Ujumbe wa Ronaldinho kwa Cristiano Ronaldo baada ya ushindi wa Ballon d’Or appeared first on millardayo.com.

 

4 months ago

Bongo5

Huu ni ujumbe wa Cristiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo ya FIFA

Hakuna ubishi kuwa mwaka 2016 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo katika maisha yake ya soka na anastahili kupata tuzo ambazo amekuwa akishinda kila kukicha.

Mchezaji huyo bora wa dunia kwa mara nne, usiku wa Jumatatu hii alishinda tuzo nyingine ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA na kuwabwaga wapinzani wake Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid.

Ronaldo ameshindwa kuzuia furaha yake na kuamua kuweka wazi sababu ya kushinda tuzo hizo...

 

6 months ago

MillardAyo

Kikubwa alichojifunza Cristiano Ronaldo katika soka, kuhusu Messi je?

web-ronaldo

Mshambualiaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo jina lake limegusa tena headlines baada ya kufanya mahojiano na Coach Magazine na kuongea mambo kadhaa kuhusu soka, katika interview hiyo Ronaldo kazungumza alichojifunza katika soka na kamuongelea mpinzani wake Lionel Messi. Qn. Kitu gani kikubwa ambacho mchezo wa mpira wa miguu umekufunza? […]

The post Kikubwa alichojifunza Cristiano Ronaldo katika soka, kuhusu Messi je? appeared first on...

 

1 year ago

MillardAyo

REPEAT: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari

Ni Exclusive Interview ya Millard Ayo na Diamond Platnumz ambaye ameongea kuhusu anachoona kinachoandikwa kuhusu yeye kutokuwa baba wa mtoto Tiffah, wanaosema kakosea kuwa mapenzini na Zari ambaye tayari ana watoto wengine kabla ya kuwa nae, yote hayo ameyaongelea kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post REPEAT: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari appeared first on...

 

1 year ago

MillardAyo

Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …

Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kuwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mourinho wa klabu ya Chelsea, ambaye timu yake imekuwa ikifanya vibaya msimu huu, kwa upande wa Hispania ni Rafael Benitez ambaye yeye pia timu yake haijafanya vibaya sana ila inatajwa kuwa kuna baadhi ya wachezaji […]

The post Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi … appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani