Alichokiandika Darassa baada ya dereva kukamatwa akicheza wimbo wake huku akiendesha gari

screen-shot-2016-12-06-at-8-41-46-pm

Msanii wa Bongofleva Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na hit single ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Muziki’ ameamua kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ile video iliyosambaa ikionesha vijana wakicheza wimbo wake  huku dereva akiacha  gari likienda. Vijana hao wamekamatwa na polisi na Darassa ameamua kutoa mawazo yake kuhusiana na kitendo hicho ambacho kimewafanya vijana hao […]

The post Alichokiandika Darassa baada ya dereva kukamatwa akicheza wimbo wake huku akiendesha gari appeared first...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

3 years ago

MillardAyo

Alichokiandika Raymond wa WCB baada ya kupewa zawadi ya gari

Screen Shot 2016-08-23 at 6.23.30 PM

Moja ya headline kwenye mitandao ya kijamii iliyochukua nafasi usiku wa August 22 2016 ni pamoja na tukio la kumbukumbu ya kuzaliwa kwa staa wa bongo flava kutokea katika label ya WCB Raymond ambapo uongozi wake uliamua kumfanyia suprise ya zawadi ya gari aina ya Toyota Rav 4 yenye thamani ya milioni 20 za kitanzania. Leo […]

The post Alichokiandika Raymond wa WCB baada ya kupewa zawadi ya gari appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Dereva wa Zitto Kabwe aongea baada ya kukamatwa na Polisi

Jana January 23 2017 tulisikia taarifa kutoka jeshi la polisi Shinyanga kuhusu kukamatwa kwa gari alilokua analitumia kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO ambae pia ni Mbunge wa Kigoma mjini Zitto kabwe. Ilidaiwa kwamba sababu ya gari hilo kukamatwa ni kosa la kutokuwa na vibali halali huku Polisi ikimtaka Zitto ajitokeze na leo dereva Patrick […]

The post Dereva wa Zitto Kabwe aongea baada ya kukamatwa na Polisi appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Vijimambo

SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI


Jitiririshe hapa alichokiandika Masanja Mkandamizajiiiiiiiiiii

 

2 years ago

Bongo5

Baada ya mashabiki kumgomea Darassa kuachia wimbo mpya, sasa hiki ndicho walichoamua

Baada ya wimbo wa ‘Muziki’ kuwa ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa kwa kumpatia heshima kubwa ndani na nje ya Tanzania, mashabiki wamemtaka kuachia wimbo mwingine mpya.

Japo mwezi Januari mwaka huu mashabiki hao walimgomea kuachia ngoma mpya huku wakimtaka kuendelea kusikilizia upepo wa ‘Muziki’ baada ya kuwauliza kupitia mtandao wa Instagram, kupitia mtandao huo mashabiki hao wamemtaka kuachia wimbo mpya baada ya kuwauliza kama wapo tayari afanye hivyo.

“Counting numbers before...

 

3 years ago

Global Publishers

Picha 10: Dereva wa Kirikuu Anusurika Kifo Baada ya Gari Lake Kuwaka Moto

DSC_0439Gari lilivyokuwa kwa ndani baada ya kuwaka motoDSC_0440Askari wa Kikosi Maalum cha Zima Moto pamoja mashuhuda wa tukio hilo.DSC_0442Gari lilivyowaka.DSC_0446MashuhudaDSC_0447Mashuhuda.DSC_0449  DSC_0452  DSC_0456Dereva wa gari hilo, Michael Augustino akitoa taarifa kwa bosi wake.

DSC_0458 DSC_0463Michael akihojiwa na askari.

MOROGORO: Dereva wa gari dogo la mizigo aina ya lsuzu Carry (Kirikuu) lenye namba za usajiri T 609 CKW, amenusurika kifo baada ya gari hilo alilokuwa akiendesha kuwaka moto katika eneo la Masika katikati ya Mji wa Morogoro, leo

Wakizungumza...

 

3 years ago

Bongo5

Dereva Daniel Ricciardo ameibuka mshindi katika Malaysia Grand Prix huku dereva Lewis Hamilton akitolewa katika mbio hizo

Mashindano ya Malaysia Grand Prix yameendela na dereva Daniel Ricciardo ameibuka mshindi huku dereva mwenzake wa Red Bull ,Max Verstappen akishika namba 2 na Nico Rosberg ameshika nafasi ya 3.

3904abcc00000578-0-image-a-6_1475400881127

Dereva Lewis Hamilton alitolewa katika mbio hizo katika lap ya 41 kufuatia gari lake kuwaka moto na sasa amepitwa pointi 23 na dereva mwenzake wa Mercedes, Nico Rosberg, Hamilton alianza mbio hizo akiwa wa kwanza.

390acc2400000578-3818076-image-a-9_1475446224964

Lewis Hamilton wa Mercedes, alikuwa akiongoza katika mbio za Malaysia Grand Prix,...

 

4 years ago

Michuzi

DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA

Dereva aliyekuwa akiendesha gari lenye namba za usajili T.910 CYF aina ya Toyota Noah aliyetambulika kwa jina la Stanford Luenje (30) mkazi wa mbozi alifariki dunia baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka huko eneo la Mlowo Wilayani Mbozi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya  1....

 

2 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego ada kukamatwa na polisi Mvomero, ni kutokana na wimbo wake Wapo unaoikosoa serikali

Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show.

Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo wake Wapo ambao umemkosoa vikali Rais Dkt John Magufuli. “Nimekamatwa kweli. Muda Huu nikiwa hotel Morogoro baada ya kumaliza Kazi yangu iliyo ni leta. Napelekwa Mvomelo Police,” ameandika rapper huyo mtata.

“Nawapenda Watanzania wote.✊🏿🏿 #Truth #Wapo,” ameongeza.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani