Alichokiandika Zitto Kabwe leo september 19 2016

zitto-1

Zitto Kabwe ni mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo ambaye amekuwa akiziandika headline mbalimbali kupitia uwezo wake wa kuichambua siasa, leo September 19 2016 Zitto kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika ujumbe huu. ‘Kwanini Rais Magufuli hafanyii Kazi suala la IPTL? Matapeli hawa wataendelea kuipa hasara Nchi yetu mpaka lini? Sasa mahakama […]

The post Alichokiandika Zitto Kabwe leo september 19 2016 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Alichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM

ZZZZ

Leo July 23 2016  Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM   baada ya kupigiwa kura za ndio 2398  kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika Baadhi ya viongozi wakiwemo wa vyama vya upinzania walishiri akiwemo mwenyekiti wa TLP Augustino […]

The post Alichokiandika Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kupewa uenyekiti wa CCM appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016

zitto

Upo ule usemi kwamba ukitaka kumficha jambo mtu mweusi basi weka ujumbe kwenye vitabu, hawezi kuuona na eti hilo ni jibu kwamba waafrika hatuna utaratibu wa kusoma vitabu. Hii ni tofauti kwa mwanasiasa maarufu na mbunge wa Kigoma Ujiji, Zitto Zubeir Kabwe ambaye mpaka kufikia sasa ameshasoma vitabu 53. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zitto […]

The post Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO

Mbunge wa Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Kabwe akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge leo mjini Dodoma mbunge huyo alipoitwa kuhojiwa juu ya Shutma za kudharau Mhimili wa Bunge. (Picha Ofisi ya Bunge)Mweyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiongoza Mahojiano ya Kamati hiyo leo Bungeni Mjini Dodoma ambapo Mheshimiwa Zitto kabwe aliitwa  kuhojiwa juu ya shutma za kudharau Mamlaka ya Bunge.

 

2 years ago

Malunde

ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI ASUBUHI YA LEO

Mbunge Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi leo asubuhi Jumanne Oktoba 31,2017 akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na amepelekwa Kituo cha Polisi Chang'ombe.

****

TAARIFA KWA UMMA

ZITTO KABWE AKAMATWA

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo,Zitto Kabwe,amekamatwa na jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake na anapelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe

Sababu za kukamatwa kwake ni hotuba ya juzi katika kata ya Kijichi

Abdallah Khamis

Afisa Habari 
ACT Wazalendo
0655549154

 

4 years ago

GPL

ZITTO KABWE ALIVYOVULIWA UBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI LEO

Mnadhimu Mkuu Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, akitoa tamko la kumvua uanachama Zitto Zuberi Kabwe leo. Waandishi wa habari wakifuatilia tukio hilo.…

 

5 years ago

Michuzi

JK amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

 

5 years ago

GPL

TASWIRA ZA MKUTANO WA ZITTO KABWE KIGOMA MJINI LEO

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, akiwahutubia wananchi wa Kigoma Mjini leo.…

 

3 years ago

Dewji Blog

Zitto Kabwe kuhudhuria maadhimisho ya wiki ya kimataifa ya viziwi leo

Leo Jumatatu septemba 26/2016, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe atahudhuria maonesho ya bidhaa yaliyoandaliwa na Taasisi ya “Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania” (FUWAVITA).

Maonesho yatayofanyika katika Viwanja vya Biafra (Karibu na Chuo Kikuu Huria) jijini Dar es salaam,

Muda saa nne kamili Asubuhi.

Ndugu Zitto Kabwe ataambatana na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndugu Janeth Rithe.

Imetolewa na
Abdallah Khamis
Afisa Habari, ACT Wazalendo

26/09/2016

The post...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani