Alichokisema Mbwana Samatta baada ya Genk kufuzu Europa League

Nahodha wa timu ya taifa anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta ameingia katika historia nchhini kwa kuwa mchezaji wa kwanza nchini kupata nafasi kucheza Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europa League) baada ya hapo jana Genk kuibuka na ushindi wa goli 5-1 dhidi ya Sporting Charleroi.

Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm, Samatta alisema limekuwa jambo la heshima kupata nafasi ya kupata nafasi hiyo ya kushiriki mashindano ya vilabu Ulaya na anaamini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League

Usiku wa May 31 2017 Club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilicheza game yake ya mwisho ya play off ya kuwania kushiriki michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2017/18 dhidi ya KV Oostende. KRC Genk ambao msimu uliyoisha walifanikiwa kushiriki michuano ya Europa League na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali […]

The post KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Samatta afunga na kusaidia klabu yake Genk kufuzu Europa League

Mchezaji wa kitamataifa kutoka Tanzania Mbwana Ally Samatta amepata nafasi ya kucheza hatua ya makundi ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League.

 

3 years ago

Bongo5

Samatta na Bailey waibeba Genk kwa mara ya pili kufuzu Europa League

Mbwana Samatta na Leon Bailey waibeba kwa mara nyingine KRC Genk kuipeleka kwenye hatua ya makundi ya michuano ya Europa baada ya kuifunga Lokomotiva Zagreb ya Croatia mabao 2-0.

samatta

Mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Cristal Arena unaomilikiwa na Genk na Samatta ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia goli timu yake hiyo kwenye dakika ya kwanza ya mchezo huo naye Leon Bailey alifunga ukurasa huo wa mabao kwa kufunga goli la pili kwenye dakika ya 50.

Kwenya mchezo wa kwanza uliochezwa wiki...

 

3 years ago

Dewji Blog

Samatta aipeleka Genk hatua ya makundi Europa League

Hatimaye ndoto ya watanzania kumwona mtanzania mwenzao, Mbwana Ally Samatta akicheza katika mashindano yanayoshika nafasi ya pili kwa ukubwa barani Ulaya ambayo yanahusisha vilabu ya Europa League sasa imetimia.

Hilo limekamilika baada ya Genk kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya NK Lokomotiva na hivyo kuwa na ushindi wa jumla wa goli 4 kwa 2, ushindi ambao umeiwezesha Genk kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).

Katika michezo yote miwili ambayo Genk...

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi wa KRC Genk ya Samatta uliyoipeleka round ya 3 Europa League

cork-krc-jpg_1470346451

Ni muendelezo wa good news kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta kuwa sehemu ya kikosi cha KRC Genk kilichoisaidia timu kupata matokeo ugenini dhidi ya wenyeji wao Cork City. Katika mchezo huo wa pili wa round ya pili KRC Genk wamefanikiwa kuibuka […]

The post Ushindi wa KRC Genk ya Samatta uliyoipeleka round ya 3 Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League

850x520-jpg_1473964793

Usiku wa Alhamisi ya Septemba 15 2016 ilikuwa siku ambayo macho ya watanzania wengi waliyaelekeza Australia kumuangalia nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta akiandika historia mpya katika maisha yake ya soka kwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Europa League akiwa na KRC Genk. Samatta […]

The post Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Genk ya Samatta uliowafanya waongoze Kundi F Europa League

850x520-jpg_1475183081

Usiku wa Septemba 29 2016 klabu ya KRC Genk inayochezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ilishuka uwanjani kucheza mchezo wake wa pili wa Kundi F wa Europa League dhidi ya Sassuolo ya Italia, Genk waliwakaribisha  Sassuolo katika uwanja wao wa nyumbani wakiwa na kumbukumbu ya kufungwa mchezo wa […]

The post Ushindi wa Genk ya Samatta uliowafanya waongoze Kundi F Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 kucheza Europa League

May 29, Nahodha wa timu ya taifa Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ambaye anachezea klabu ya KRC Genk ya Inchini Ubelgiji ameandika historia mpya kwenye maisha yake baada ya kuisaidia timu yake kushinda mchezo wa fainali ya play off na hatimaye kufu kucheza michuano ya Ulaya (Europa League).

yq2s

Kwa matokeo hayo, KRC Genk imefuzu Europa League kwa ushindi wa jumla wa 5-3, baada ya Ijumaa iliyo pita kufungwa 2-0 ugenini katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania nafasi ya mwisho ya Europa...

 

3 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Mbwana Samatta afunga goli wa kwanza katika Europa League

Michezo ya kutafuta nafasi ya kushiriki Ligi ya Vilabu Ulaya (Europa League) imeanza kuchezwa barani Ulaya kwa michezo 33 kupigwa kwa vilabu 66 vikitafuta nafasi ya kushirki michuano hiyo.

Mtanzania Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji amefanikiwa kufunga goli la kwanza katika michuano hiyo baada ya kufunga goli la pili katika ushindi wa goli mbili kwa bila ilioupata Genk.

Genk alipata ushindi huo katika uwanja wake wa nyumbani wa Cristal Arena kwa kuifunga Buducnost...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani