ALICHOONGEA MAKONGORO NYERERE WAKATI WA UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA NMB DODOMA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi mbalimbali baada ya kufunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa wafanyakazi wa umma la PSPF Plaza barabara ya Chimwaga mjini Dodoma leo April 23, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi mbalimbali akiakata utepe kuashiria  uzinduzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa wafanyakazi wa...

 

3 years ago

Michuzi

Benki ya NMB Yazidua Rasmi Tawi la Sumbwanga

Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa (wa tatu kulia), Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Lucresia Makirie wakishuhudia uzinduzi huo.Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akifungua pazia la jiwe la msingi na hivyo kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB...

 

4 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA DTB -KAHAMA

Mehboob Champsi, Mwenyekiti wa bodi, DTB, Kwa upande wake Afisa mtendaji mkuu wa benki hiyo, Bi. Nasim devji ambaye pia alizaliwa wa mji wa kahama, amesema benki hiyo ina matawi 110 na imepanga kupanua huduma zake ndani na nje ya nchi na kwamba kwa hivi sasa inahudumia nchi za kenya, uganda burundi na Tanzania.Bi Nasim devji Akitoa ngao kwa mfanyakazi wa DTB BankMeneja wa tawi la DTB Bank kahama tawila kahama Mercy Stephen akipokea ngao ya kuwa meneja wa kwanza kwa tawi la kahama Afisa...

 

2 years ago

Malunde

BENKI YA NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA KATIKA MJI WA HEDARU WILAYANI SAME


Tawi jipya la Benki ya NMB lililopo katika mji wa Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro.Barabara ya kuelekea tawi jipya la Benkiya NMB katika mji wa Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa wilaya ya Same,Rosemery Staki akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya NMB katika mji wa Hedaru wilayani Same.Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB kanda ya Kaskazini.Afisa Mkuu wa wateja wadogo na wa kati wa benki ya NMB,Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa...

 

3 weeks ago

Michuzi

Benki ya NMB Yazidi kujitanua, yazindua Rasmi Tawi lake MbogweMkuu wa Mkoa wa Geita – Mhandisi Gabriel Luhumbi Robert akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la NMB Mbogwe lililopo wilayani Mbogwe Mkoani Geita mwishoni mwa juma. Wakishuhudia tukio hilo ni Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi Sospeter Magesse (kushoto), Meneja wa Tawi la NMB Mbogwe – Daudi Mkanza na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara – Donatus Richard, Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe - Martha Mkupasi na Meneja Uhusiano Biashara ya Serikali NMB – Suma Mwainunu.


Mkuu wa Mkoa wa Geita...

 

2 years ago

Mtanzania

NMB YAZINDUA TAWI LA WATEJA MASHUHURI DODOMA

Na Mwandishi Wetu-DODOMA

BENKI ya NMB imezindua tawi la wateja mashuhuri wa Mkoa wa Dodoma na maeneo ya jirani kwa lengo la kuwahudumia wafanyabiashara wa maeneo hayo.

Akizungumza katika uzinduzi wa tawi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker, alisema kuzinduliwa kwa tawi hilo la Makole Business Centre kunatokana na mji huo namna unavyovutia kwa wafanyabiashara na Serikali hasa kutokana na mpango wake wa kuhamia mkoani humo.

“Nia yetu ya kufungua Kituo cha...

 

5 years ago

Michuzi

NMB Bank yafungua tawi la Bunge mjini dodoma

 Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akikata utepe kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge,tawi hili lime- funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana.Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge.Tawi hili lililo funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana,anaye piga makofi  ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Jengo la NMB Bunge.

 

4 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR

Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. ...wakiwa chini ya ulinzi. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.…

 

2 years ago

Michuzi

RC WA TANGA MARTINE SHIGELLA AZINDUA RASMI TAWI LA BENKI YA NMB MKATA WILAYANI HANDENIMkuu wa Mkoa wa Tanga Mh.Martine Shigella leo amezindua rasmi tawi la NMB benki lililopo Kata ya Mkata Wilayani Handeni na kuwataka wakazi wa maeneo ya jirani kuacha kuhifadhi fedha nyumbani. 
Mkuu wa Mkoa amesema kuwa ufunguzi wa tawi hilo la kibenki ni fursa kubwa kwa wakazi wa Mkata na maeneo ya jirani kwani huduma za kifedha zimesogezwa karibu na ni chachu ya ukuaji wa maendeleo na uchumi wa Mkata.

Aliongeza kuwa Mkata ni eneo lenye mzunguko mkubwa wa kifedha kutokana na kuwa na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani