Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara kuhusu kuondoka Simba

 

Kufuatia ujumbe tata aliopost Msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram hapo jana usiku ambao umezua mjadala miongoni mwa watu, mapema leo  May 2, 2018 Haji Manara, amewatoa hofu mashabiki wa Simba kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Manara amesema kuwa “Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi….rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark

Baada ya habari za mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu ya Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza, Haji Manara wa Simba ameuanzisha huu utani huku ikiaminika kwa sasa Okwi anarudi Simba. Mkuu huyu wa idara ya habari na mawasiliano Simba baada ya taarifa za ujio wa Okwi […]

The post Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Global Publishers

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka

The post GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Global Publishers

Baada ya Kichapo cha Yanga, Haji Manara Kufunguka LIVE Kupitia Global TV Online Jioni Hii

SUBSCRIBE YouTube @Global TV Online

The post Baada ya Kichapo cha Yanga, Haji Manara Kufunguka LIVE Kupitia Global TV Online Jioni Hii appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Haji Manara afunguka baada ya kuzushiwa kifo

Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amesikitishwa na taarifa za kuzushiwa kifo zilizosambaa mitandaoni na kusema yeye yupo hai mwenye afya njema tena anamshukuru Mungu huku akitoa pole kwa ndugu na jamaa ambao wamepata usumbufu kwa namna moja ama nyingine kutokana na taarifa hizo za uongo.

“Taarifa zinazoenezwa mitandaoni juu ya uhai wangu si kweli, nipo hai na mzima wa afya kwa uwezo wa Mungu, poleni nyote mliokuwa msibani kwa kupewa taarifa isiyo sahihi,...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Bosi Yanga amfutia kesi Haji Manara

SIMBA wana kila sababu ya kufurahia taarifa hii baada ya Msemaji wao, Haji Manara, aliyekuwa kifungoni sasa kufunguliwa na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF).

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani