Alichozungumza Dk. Shika baada ya kuwasili nyumbani kwake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefikia uamuzi wa kumuachia  Dk Louis Shika ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kujidhamini yeye mwenyewe baada ya kukosa mtu yeyote aliyejitokeza kwenda kutaka kumwekea dhamana.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 14, Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema “uchunguzi wa tuhuma dhidi yake unaendelea lakini mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyefika kutaka kumwekea dhamana, yaani anaishi kama mtu...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE.

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wamempongeza nyumbani kwake mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea,Jerry Silaa.Silaa aliibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October 25.

 

1 year ago

Malunde

TUNDU LISSU ARUDISHWA POLISI BAADA YA POLISI KUFANYA UPEKUZI NYUMBANI KWAKE

Jeshi la Polisi limemaliza zoezi la kufanya upekuzi katika nyumba ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyopo Tegeta Dar es Salaam na baada ya hapo Lissu amerejeshwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

Jeshi la polisi lilikwenda nyumbani kwa Tundu Lissu kufanya ukaguzi kufuatia makosa mawili ambayo Mbunge huyo wa Singida Mashariki na Rais wa TLS anatuhumiwa nayo ambayo ni pamoja na Kusema makosa ya Rais John Pombe Magufuli hadharani na chochezi...

 

7 months ago

MillardAyo

Alichozungumza Dr. Slaa baada ya kuapishwa na JPM Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli leo February, 16 amewaapisha mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Nigeria na Sweden. Mabalozi walioapishwa ni pamoja na Muhidin Ally Mboweto ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria na Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden. DR. […]

 

2 years ago

Zanzibar 24

Video: Alichozungumza Nape Nnauye baada ya kuvuliwa uwaziri

The post Video: Alichozungumza Nape Nnauye baada ya kuvuliwa uwaziri appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Bongo5

Hanscana adai director ‘Nicklass’ aliyeshoot video ya wimbo ‘Shika Adabu Yako’ ndiye bora kwake

Nicklass

Muongozaji wa video na mshindi wa Tuzo za Watu 2015, Hanscana amesema director Nicklass aliyetengeneza video mpya ‘Shika Adabu Yako’ ya Nay wa Mitego ndiye director anayekuja kwa kasi kutokana na ubora wa kazi zake.
Nicklass

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Hanscana amesema Nicklass ni moja kati ya directors wakali wenye uwezo mkubwa wa kuchanganya picha.

“Kusema kweli kuna huyo jamaa naitwa Nicklass, mimi namuona mbali sana baada ya mwaka mmoja,” alisema Hanscana.

“Ukiangalia video zake nyingi...

 

2 years ago

MillardAyo

Lowassa kafunguka alichozungumza na TB Joshua baada ya matokeo ya uchaguzi 2015

lowas

Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa amehutubia mahafali ya CHADEMA Student Organization ‘CHASO’ ambapo amesema hajaridhishwa na matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 na kaeleza kwamba TB Joshua alikuja kumshawishi akubali matokeo. >>>’niseme nini juu ya uchaguzi nasema sikuridhika hata kidogo, na rafiki zangu wakategemea nitasema natambua matokeo, nimesema sitambui […]

The post Lowassa kafunguka alichozungumza na TB Joshua baada ya matokeo ya uchaguzi...

 

2 years ago

Bongo5

Lowassa aeleza alichozungumza na Rais Magufuli baada ya kukutana naye

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa amefunguka na kueleza kitu alichozungumza na Rais Dk John Pombe Magufuli baada ya kukutana naye hivi karibuni kwenye hafla ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
LM
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa wakati wa hafla ya maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya Ndoa ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa .

Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam,...

 

4 years ago

CloudsFM

DIAMOND KUWASILI NYUMBANI LEO SAA NANE MCHANA

Kwa wale mashabiki wote wa Super Star na mshindi wetu Diamond Platnumz habari ni kwamba leo saa nane mchana Rais wa Wasafi anarudi nyumbani na zile tuzo 3. Sasa mnaonaje mkajumuika na sisi kumpokea pale Airport ili tusherekee huo ushindi pamoja naye? Njooni tumuonyeshe ni kwa jinsi gani tunampenda na kuithamini kazi yake. #Twajivunia kuwa watanzania

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani