Aliyekuwa mchumba wa Wizkid apata ujauzito

wizkid-and-tania

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

02_08075105_6e5bfc_2729405a

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu 😁.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Tetesi za ujauzito wa mchumba Ronaldo gumzo

Tetesi za ujauzito wa mchumba wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez zimezidi kushika kasi baada ya mrembo huyo kuweka picha Instagram akiwa na daktari.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India apata mchumba

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la  Lalita Ben Bansi ambae ni Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India amefanikiwa kupata mchumba na kuolewa  huko India.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 26 Alifanikiwa kumpata mume baada ya kupiga simu nambari iliokoseka na kusema kufanikiwa kupata mpenzi ni kama miujiza.

“Bi Bansi alipiga simu yangu kwa bahati mbaya miezi mitatu iliyopita. Nilimpigia tena baada ya siku 15,” Bwana Singh, mwenye umri wa miaka 27, anayefanya kazi na kampuni ya CCTV...

 

2 years ago

Malunde

HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanaume apata hisia za ujauzito

Mwanaume mmoja mjini Birmingham nchini Uingereza alilazimika kupata mapumziko kazini baada ya kupata hisia za ujauzito

 

3 years ago

Global Publishers

Wizkid Apata Mpenzi Mpya Kwao na Akina Kim Kardashian

justine skye and wizkid photoHivi karibuni imethibitika kuwa staa wa muziki nchini Nigeria, Wizkid anatoka kimahaba na rafiki wa karibu wa familia ya Kardashian aitwaye Justin Skye.

Wiz alithibitisha mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuweka picha ya mrembo huyo na kuandika maneno yanayoashiria kabisa moja kwa moja kuwa wanatoka kimahaba.

justine skye and wizkidJustin Skye na wadogo zake na Kim Kardashian.

Justin Skye ni rafiki wa karibu sana na mdogo wake na Kim Kardashian, Kylie Jenner (wa chini kulia kwenye picha hapo juu).

wizkid justine skye

4 years ago

Vijimambo

Uwoya Apata Ujauzito:Yasemekana Ni Ya Msanii Milionea Jaguar Toka Kenya.

Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant for her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist Jaguar. "Uwoya is pregnant of Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might be in Kenya to visit her man" said the sourceSWP failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mwanamke aliyekatwa mikono na mumewe kwa tuhuma za kuwa tasa, apata ujauzito

Mwanamke anetambulika kwa jina la Jackline Mwende Mkaazi wa Nchini Kenya aliyekatwa mikono akidaiwa kuwa tasa, ashika ujauzito baada ya kuachana na mumewe wa awali.

Mwanamama huyo alikatwa mikono na aliyekuwa mumewe, Bwana Stephen Ngila kwa tuhuma za kutozaa.
Muda mfupi kabla ya kushambuliwa Bi. Mwende amedai kuwa Madaktari walikuwa wamewapa majibu ya vipimo kuwa mumewe hakuwa na uwezo wa kuzaa.

The post Mwanamke aliyekatwa mikono na mumewe kwa tuhuma za kuwa tasa, apata ujauzito appeared...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Aliyekuwa bosi wa UVCCM apata dhamana

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa UVCCM Taifa, anaandika Hamisi Mguta. Sadifa ameachiwa leo Desemba 19, 2017 baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi la upande wa mashtaka ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani