Aliyemuua mpenzi wake kwa kumchinja atiwa mikononi mwa polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam linamshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Musuguri Sylvester (29), mkazi wa Sinza, kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake.

Hayo yalisemwa jijini hapa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Kamishna wa Polisi, Simon Sirro wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kamanda Sirro alisema tukio hilo lilitokea Machi 31, mwaka huu saa saa nne usiku katika maeneo ya Sinza Shekilango jijini Dar es Salaam.

Alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Baba atiwa mikononi mwa polisi kwa kumbaka mtoto wake

Baba mmoja  aliejulikana kwa jina la Ramadhani Mademba (39) mkaazi wa Kianga atiwa mikononi mwa polisi kwa kosa la  kumbaka mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 13.

Taariza zilizosibitiswa na kamanda wa Polisi wa Mjini Magharibi Kamishna msaidizi muandamizi wa Polisi Hassan Nassiri Ali amesema tukio hilo mla kusikitisha baina ya mwezi machi na april 19 mwaka huu huko kianga wilaya ya magharibi A.

Aidha kamanda hassan amesikitishwa sana tukio hilo na kuiomba  jamii  kurudi katika maadili...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyemchoma moto mpenzi wake mikononi mwa polisi

Jeshi la polisi Zanzubar limefanikiwa kumkamata Omar Said mkaazi wa Paje  akikabiliwa na tuhuma za kumchoma moto Samira Abasi Amir na kupata majaraha makubwa.

Tukio hilo la kumkamata kijana huyo limetokea majira ya saa nne Leo Asubuhi huko katika manispaa ya mji wa Zanzibar wakati mtuhumiwa huyo akijaribu kukimbia.

Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo wamelimelipongeza jeshi la Polisi kwa kuweza kumdhibiti mtuhumiwa huyo alietenda kesi ya udhalilishaji.

Mwanahabari wetu yupo katika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mtuhumiwa sugu wa utapeli atiwa mikononi mwa polisi

Jeshi la Polisi limemkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli , Wlfred Massawe(36) mkazi wa Temeke aliyekuwa akijitambulisha kama kiongozi wa Serikali wakati akitakakuendeleza shughuli zake za utapeli.

Tapeli huyo pia alikuwa akijifanya kiongozi mkubwa wa Dini ya Kikristo (Askofu) na kuwaambia waumini na viongozi mbalimbali kuhusu maandalizi ya makongamano ya kidini na akiwataka watoe michango.

Baadhi ya matukio aliyofanikiwa kutapeli ni pamoja na kuwatapeli viongozi wa serikali, wafanyabiashara,...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyepanda zao la bangi nyumbani kwake atiwa mikononi mwa polisi

Zanzibar kumekua na ulimwaji wa mazao mengi sana lakina kijana mmoja aitolea nyumba yake sadaka na kulima zao la bangi jambo ambalo ni la kushangaza kwa upande wa Zanzibar na ni kosa kisheria.

Tukio hilo la kulimwa bangi zanzibar lililofanywa na kijana aliyetambulika kwa jina la Hassan Ali Hassan maarufu robo mkaazi wa  Bububu Kihinani Wilaya Magharibi Unguja limewashangaza na kuwashtua zaidi wakaazi wa eneo hilo.

Kufuatiwa kuwepo kwa hali hiyo askari polisi kituo cha Bububu wakishirikiana...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahakamani kwa kumchinja mpenzi wake

Kesi imeanza ya mwanamume anayedaiwa kumuua na kumkatakata vipande mpenzi wake na kuwatumia wanasiasa vipande hivyo kwa posta.

 

3 years ago

Mtanzania

Polisi aliyemuua Mwangosi atiwa hatiani

LAW

Na Raymond Minja, Iringa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa, imemtia hatiani   Polisi, Pasficus Simon kwa   kumuua bila kukusudia, aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Channel Ten, marehemu Daud Mwangosi.

Hukumu hiyo ilisomwa jana mahakamani hapo kwa zaidi ya saa tatu mbele ya Jaji   Paul Kihwelo.

Mwangosi aliuawa Septemba 2, 2012 katika eneo la Nyololo wilayani Mufindi mkoani hapa, baada ya askari kuzuia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Upande wa Jamhuri uliwasilisha...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyemuua mume wake ili aishi na mpenzi wake India

Wapenzi wiwili nchini India wamekamatwa kwa kumuua mume wa mwanamke na kisha kujaribu kumfanyia upasuaji wa kubadilisha sura mwanamume mpenzi

 

4 years ago

Mwananchi

Mahabusi afia mikononi mwa polisi kwa kipigo

Mahabusi Daniel Alfred katika kituo cha Polisi Urafiki, eneo la Ubungo, amefariki dunia kwa madai ya kupigwa na baadhi ya askari wa kituo hicho.

 

2 years ago

Mwananchi

Watano mikononi mwa polisi kwa uvuvi haramu

Mwanza. Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano wakazi wa Wilaya ya Sengerema kwa tuhuma za kukutwa na zana haramu za uvuvi kinyume cha sheria.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani