ALIYETAJA ORODHA YA WATU 10 HATARI ZAIDI KWA USALAMA WA TAIFA TANZANIA KUBURUZWA MAHAKAMANI

Mjasiriamali/Mwanahabari na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi amefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Mhariri wa Gazeti la Tanzanite na Mwanasheria Cyprian Musiba kwa kumkashifu na kuchafua jina lake kupitia mkutano wake na Waandishi wa Habari uliyofanyika tarehe 25 Februari, 2018.

Barua hiyo iliyotolewa na Mwanasheria wa Maria Sarungi, Benedict Alex Ishabakaki imeeleza kuwa mteja wake alitajwa na gazeti la Tanzanite toleo Namba 50 lililotoka...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kiongozi UVCCM mahakamani kwa kutumia kitambulisho feki cha usalama wa taifa

mama

Baada ya Jeshi la polisi Arusha kumshikilia Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, Lengai Ole Sabaya wakidai wamepata malalamiko kwa wananchi kuwa amekuwa akitumia kitambulisho cha usalama wa taifa kutapeli. Leo September 19 2016 kiongozi huyo wa UVCCM amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Arusha na kusomewa mashtaka mawili ya kughushi kitambulisho cha usalama wa Taifa na kukitumia kwa […]

The post VIDEO: Kiongozi UVCCM mahakamani kwa kutumia kitambulisho feki cha usalama wa taifa appeared first on...

 

2 years ago

Malunde

WAANDAAJI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA KUBURUZWA MAHAKAMANI


Kurugenzi ya Sheria ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP imekusudia kuwasilisha kwa kampuni inayoandaa MISS TZ notisi ya madai na kusudio la kuwafikisha Mahakamani kama watashindwa kuwalipa washindi wa MISS TZ 2016.
Hatua hiyo inakuja baada ya Kurugenzi hiyo kupokea malalamiko kutoka kwa mamiss walioshiriki Miss Tanzania 2016 na kushinda nafasi za 2, 3 na 4 kutolipwa fedha zao walizoahidiwa na waandaaji wa mashindano hayo Lino International Agency Ltd.
TSNP imewataja washindi hao kuwa ni Mary...

 

1 year ago

Malunde

WAANDISHI WA HABARI WATANO KAHAMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUJIFANYA MAAFISA USALAMA WA TAIFA NA KUTAPELI MGANGA WA JADI


Waandishi wa habari watano wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefikishwa mahakamani wilayani Kahama kwa makosa ya kujifanya maafisa usalama wa taifa na kujipatia fedha shilingi Milioni 1 kutoka kwa mganga wa jadi.

Waandishi hao wa habari ambao ni Paul Kayanda wa gazeti la Uhuru,Raymond Mihayo- Habarileo,Shaban Njia – Jamboleo,Simon Dioniz – Radio Kwizera na George Maziku ambaye hajulikani anaandikia chombo gani wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Kahama leo Jumatano Januari 10,2018.

 

11 months ago

Malunde

MKUCHIKA : KAZI YA USALAMA WA TAIFA SIYO KUKAMATA WATU KWA MABAVU

Waziri wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusanya habari na kuishauri serikali na wala si kukamata watu kwa mabavu.

Mkuchika ameyasema hayo jana Aprili 16 bungeni wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

“Naomba nichukue nafasi hii kufafanua sheria ya usalama wa taifa inasema nini, usipojua kazi za idara ya usalama wa...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

4 years ago

Africanjam.Com

ORODHA YA WATU 50 WENYE USHAWISHI ZAIDI LIGI YA UINGEREZA


Jarida la Sportsmail kuamkia jana wametaja majina ya watu 50 wenye ushawishi zaidi katika ligi kuu ya Uingereza EPL, cheki orodha yenyewe hapa chini.50 Steven Gerrard, 49 Peter Ridsdale, 48 Didier Drogba, 47 Karren Brady, 46 Philip Don, 45 Sol Campbell, 44 Gary Lineker, 43 Carlos Tevez, 

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday...

 

10 months ago

Malunde

HII HAPA ORODHA YA WATU 10 WENYE USHAWISHI ZAIDI DUNIANI

Kiongozi wa China Xi Jinping ndiye mtu mwenye ushawishi Zaidi duniani, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Amechukua nafasi hiyo baada ya bunge China kumpa mamlaka zaidi na kuondoa kikomo cha muhula wa rais.

Jingping amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Rais Vladimir Putin wa Urusi ambaye kwa sasa anashika nafasi ya pili.

World Most #PowerfulPeople List of @Forbes #forbes

1. Xi Jinping2. Vladimir Putin3. @realDonaldTrump4. Angela Merkel5 @JeffBezos @amazon6. Pope Francis7. @BillGates8. Mohammed bin...

 

2 years ago

Malunde

HII HAPA ORODHA YA NCHI ZENYE WATU WANENE ZAIDI DUNIANI

Mtandao wa CIA’S World Fact umetoa orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya watu wanene duniani ambapo Amerika ya Kaskazini ikiwa na nchi nyingi zenye idadi kubwa huku Qatar na Kuwait zikiongoza Bara la Asia na Afrika kukiwa na idadi ndogo ya watu wanene.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo zaidi ya 75% ya watu katika nchi hizi wana uzito uliopitiliza huku wanawake wakiongoza kwa unene ukilinganisha na wanaume katika nchi za kiarabu wakati Canada, Marekani na Australia wanaume wanaongoza kwa zaidi ya 25%...

 

3 years ago

Raia Mwema

Serikali kuburuzwa mahakamani

ILIKWISHASEMWA na kufafanuliwa kwa kina; kwamba mkataba wa kitapeli wa miaka 20 kati ya kampuni y

Joseph Mihangwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani