ALIYETAKA KURITHI PENZI LA DIAMOND KWA ZARI AAIBIKA NA GARI LAKE JIPYA AKITAKA KUHONGA

Zari The Boss Lady amesema hamfahamu Ringtone Apoko ambaye ni msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya aliyetangaza kumnunulia mrembo huyo gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017.
Hapo jana Ringtone Apoko aliweka wazi kuwa amenunua gari hilo baada ya kusikia Zari atawasili nchini humo kwa ajili ya event yake, pia kipindi cha nyuma msanii huyo alipopata taarifa za Zari kuachana na Diamond alijitokeza na kueleza ana nia ya kumuoa.
 Zari akiwa nchini Kenya amehojiwa na kituo cha Radio,...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Zari Awakosha Mashabaki wa Penzi Lake na Diamond

Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani.

Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika;

diamond31

Mmmmmh…. Ooh Ghafla visenti hana tumerudi...

 

2 years ago

BBCSwahili

Zari awasuta waliodhani penzi lake na Diamond limekwisha

Kila mtu amekuwa akidhania kwamba uhusiano wa wapenzi maarufu Afrika Mashariki na kati msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz na mfanyibiashara wa Uganda Zari Hassan ulikuwa umevunjika

 

2 years ago

Zanzibar 24

Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama  Diamond Platnumz kupitia instagram ameamua kuonesha gari lake jipya lakifahari ambalo atatumia katika shuhuli zake akiwa South Afrika.

diamondplatnumz

 

 

 

 

The post Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Bongo5

Wolper awajia juu wanaofuatilia penzi lake jipya na Harmonize

Jacqueline Wolper amewafungukia wanaomsema kuwa haendani na mpenzi wake mpya, Harmonize.

c79e987f-01b7-4137-abf1-e66acf4f90cf

Hivi karibuni familia ya WCB imeonekana kuchafua hali ya hewa mitandaoni baada ya picha zilizokuwa zinasambaa zikionyesha couple hiyo mpya mjini kati ya Jacqueline Wolper na Harmonize huku baadhi ya mashabiki wakisema kuwa ilikuwa ni kiki lakini kwa sasa mambo yanaonekana kubadilika.

Akiongea kwenye kipindi cha Take One, kinachoruka kupitia Clouds TV, Wolper alisema kuwa anaweza akawa na mwanaume...

 

4 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!

INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Uhusiano...

 

1 year ago

Malunde

AFUKUZWA KAZI AKIFUATILIA PENZI LA DIAMOND NA ZARI


Sakata la kuvunjika kwa penzi la mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari The Bosslady halijapoa na sasa limemuondoa mpiga picha wake, Andrew Kisula maarufu Kifesi ambaye ametangaza kuacha kufanya kazi naye baada ya kuwapo tetesi kuwa anaweza kufukuzwa.
Tetesi za uwezekano wa kufukuzwa kwa mpiga picha huyo zilianza kuzagaa jana asubuhi zikihusishwa na kitendo cha kumuandikia waraka mzito bosi wake akimsihi asiachane na Zari kwa kuwa ni mwanamke mwenye akili.
Kupitia mtandao wa Instagram, Kifesi...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Babu Tale alipigania penzi la Diamond na Zari

Kuachana kwa Diamond na Zari The Boss Lady kumemgusa pa kubwa Meneja wa Diamond, Babu Tale ambaye ameshindwa kuvumilia na kuamua kutunga safari kwenda  nchini Afrika Kusini kuhakikisha Diamond na Zari wanamaliza tofauti zao.

Moja ya sababu alizoeleza Zari kuwa zilichangia kuachana na Diamond Platnumz ni kitendo cha kuzaa na Hamisa Mobetto ambapo Babu Tale ameeleza wazi kuwa kabla ya Hamisa kuzaa na Diamond alishawaonya kwani wakati huo Diamond alikuwa katika mahusiano na Zari.

“Kabla Hamisa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani