Allan Buberwa: Mwanafunzi wa kitanzania aliyefia mtoni Marekani azikwa Dar es salaam

Mwanafunzi wa Kitanzania aliyefariki Marekani wiki iliyopita, Allan Buberwa amezikwa leo baada ya mwili wake kurudishwa Tanzania jana Jumatano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Hatimaye aliyefia India azikwa

Mamia ya watu jana walijitokeza katika mazishi ya Abel Machanga, aliyefariki katika Hospitali ya Colombia Asia, India alikokuwa akipatiwa matibabu na maiti yake kuzuiliwa kwa mwezi mmoja.

 

3 years ago

Mwananchi

‘Mwanafunzi aliyefia gesti alibakwa, kunyongwa’

Bukombe. Mganga Mkuu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Dk Aubery Mushi amesema kifo cha mwanafunzi  aliyekutwa nyumba ya kulala wageni Septemba 29,  kimetokana na kubakwa na baadaye kunyongwa.

 

4 years ago

Michuzi

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi.  Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala Kuu.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

3 years ago

Habarileo

Bosi TAA afa akiogelea, azikwa Dar es Salaam

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA), Suleiman Said Suleiman amefariki dunia akiwa katika mazoezi ya kuogelea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 

3 years ago

Michuzi

Marehemu Omari Kungubaya azikwa jijini Dar es salaam

 MWANAMUZIKI mkongwe ambaye alipata umaarufu kutokana na wimbo wake Salamu za Wagonjwa Marehemu Omari Kungubaya (pichani enzi zauhai wake) amezikwa leo katika makaburi ya kifamilia Njeteni Kwembe. Msiba huo ulihudhuria na watu wengi wakiwemo majirani, ndugu, wanamuziki na wapenzi wa muziki wa Mzee Kungubaya.Tatu itakuwa siku ya Jumamosi 22/10/2016.
 Mwanamuziki Mjusi Shemboza akimfariji mmoja wa watoto wa marehemu Mzee KungubayaJeneza likiwa na mwili wa marehemu Omari Kungubaya likitolewa nje...

 

2 years ago

Malunde

MWANAMUZIKI SHABAAN DEDE AZIKWA JIJINI DAR ES SALAAM


Sehemu ya Waumini wa Kiislam pamoja na waombolezaji wengine, wakishiriki kwenye Mazishi ya Marehemu Shaaban Dede, katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo.Baadhi ya ndugu, Jamaa na Marafiki wa karibu wa Marehemu Shaaban Dede wakielekea katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhwan Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mazishi hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la...

 

4 years ago

GPL

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala… ...

 

3 years ago

CCM Blog

BABA YAKE HMPREY POLEPOLE AZIKWA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM


 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humprey Polepole akizungumza wakati wa ibada maalum ya kumuombea Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi katika kanisa la KKKT Ushirika wa Segerea.
Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba na Mkewe, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Engineer Nyamuhanga, Katibu wa CCM Ilala pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Ndugu Glorious Luoga...

 

5 years ago

Michuzi

Marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa leo Kisutu, Dar es salaam

 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jioni hii. Marehemu, ambaye ni mdogo wa Hajat Mwantumu Malale, Dkt. Asha-Rose Migiro, Balozi Radhia Msuya, alifariki jana  Shughuli za mazishi zikiendelea  Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali akiweka udongo kaburini  Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani