Amani ndio kichocheo cha wawekezaji Zanzibar – Dkt. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein  amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kudumisha amani  iliyopo kwani ndio chachu ya  kuvutia wawekezaji  kuja kuekeza miradi  yao ya maendeleo Zanzibar.

Akizungumza katika uwekaji wa jiwe la msingi la  mji wa kisasa fumba ‘fumba town development’ amesema wawekezaji wamekuwa wakishajihika kuekeza nchini na wageni mbalimbali kuja kutembea kutokana na nchi kuwa ya amani na utulivu.

Amesema Serikali itaendelea ...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Sheria ndio Dira itakayoiwezesha Zanzibar kudumisha Amani Dkt. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa utawala wa sheria ndio dira katika utoaji haki na ndio utakaoiwezesha Zanzibar kudumisha amani na utulivu iliyopo ambayo ndio msingi wa maendeleo katika sekta zote za kiuchumi na kijamii.

Dk. Shein aliyasema hayo leo huko katika ukumbi wa Baraza la zamani la Wawakilishi, Kikwajuni mjini Unguja katika  hafla ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar.

Alieleza kuwa utawala wa sheria ndio utakaoiwezesha...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UWANJA WA AMANI LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi walijitokeza katika sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiimba wimbo wa Taifa katika sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, ZANZIBAR

Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHUO CHA WATAALAM WA MAGONJWA CHA AFRIKA MASHARIKI,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika unaoongozwa na Prof. Ephata Kaaya, (wa pili kulia)katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Shahada ya Heshima kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika Prof. Ephata Kaaya, ...

 

11 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-ZANZIBAR- RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa...

 

3 years ago

Bongo Movies

Dkt Shein: Zanzibar Kuwa Kitovu cha Filamu Duniani

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar inaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika tasnia ya utengenezaji filamu na maigizo kutokana na mandhari na historia yake katika fani hiyo sambamba na mikakati liyojiwekea.

Shein na Kapuli

Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar, wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai, India Jilesh Babla ambapo mkongwe huyo yupo Zanzibar akiwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Dkt. Shein mgeni rasmi Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.

 

Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katuika Chuo Kikuu cha Tunguu 9(Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni erasmi akiwa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein,(hayupo pichani).Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katuika Chuo Kikuu cha Tunguu 9(Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN ATEMBELEA KIJIJI CHA MKONJONI KASKAZI UNGUJA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Amali, Maalim Abdalla Mzee wakati alipotembelea Ujenzi wa Skuli mpya ya Sekondari katika Kijiji cha Mkonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja kuangalia ujenzi wa Skuli ya hiyo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakiangalia kisima kiliopo katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani