Amuua mama yake kisa Mbwa wake

Polisi mjini Michigan – Marekani wanamshikiria kijana Andrew David Willson(19) kwa kosa la kumuua mama yake mzazi Lisa Marie Willson(51).

Baada ya kumkamata kijana huyo siku ya Ijumaa na kumfikisha mahakamani siku ya Jumatatu, polisi wameeleza kuwa Andrwer alimpiga risasi moja ya kichwa mama yake huyo aliyekutwa akiwa kitandani baada ya kumtupa nje mtoto wa mbwa aliyompeleka nyumbani kwao.

Licha ya kuwa mahakama ilimkuta kijana huyo na kosa la mauaji ila, polisi wamedai kuwa walipokea simu...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Wawili wawachinja wake zao, mwingine amuua mama yake!

panga

Matukio ya Dodoma

Samson Joramu(44), mkazi wa Chololo, Kata ya Kikombo, alimchinja mke wake, Rehema Joram (43) kabla ya kujiua kwa kunyonga katika shamba lake.

Watu walioshuhudia walisema, Joramu baada ya kumuua mkewe alijinyonga na aliandika ujumbe uliokutwa mfukoni kwake, ukisomeka: “Mama tunza wanangu, mimi nimekufa.” Kadhalika aliandika orodha ya watu anaowadai.

Katika tukio jingine, Amos Kalenda, mkazi wa Kikombo, Dodoma anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Joyce Kalenda kwa kumchinja....

 

3 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

2 years ago

Global Publishers

Kisa nguo na kofia… amuua mdogo wake!

kakamegaKakamega

TUKIO la aina yake limefanywa kijana Andrew Muganda (26) aliyeripotiwa kumpiga mdogo yake Wycliffe Shitanda (23) hadi kumuua, kisa kikidaiwa kuwa alivaa nguo na kofia ya kaka yake huyo bila idhini yake, tukio lililotokea hivi karibuni katika Kijiji cha Shamberere, Malava, Kakamega nchini Kenya.

Tarifa iliyotolewa na mama yao mzazi, Violet Lagu, inasema Muganda alimuuliza mdogo wake kwa nini alivaa nguo zake bila idhini yake naye mdogo mtu akajibu kwa jeuri.

“Nina taarifa zako kuwa...

 

3 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mbwa kapewa jina la Ronaldog kisa ni uwezo wake wa kuuchezea mpira

Ronaldog-1

April 14 2016 kama utakuwa ni mfuatiliaji wa vituo vya tv kama BBC najua utakuwa umeona video ya Ronaldog, mbwa mwenye uwezo wa kuuchezea mpira, Ronaldog ni mbwa ambaye alinunuliwa katika shughuli za hisani na Peter Simpkins. Peter kwa sasa amempa mbwa huyo jina la Ronaldog kwa heshima ya nyota wa soka wa Real Madrid Cristiano […]

The post VIDEO: Mbwa kapewa jina la Ronaldog kisa ni uwezo wake wa kuuchezea mpira appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Ambaka, amuua mama yake mzazi

MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...

 

7 months ago

BBCSwahili

Mvulana wa miaka 13 amuua mama yake na kumkata kichwa China

Mvulana huyo kisha akachukua video ya mauaji hayo na kuwatumia marafiki kupitia mtandao wa kijamii wa WeChat

 

2 years ago

MillardAyo

HEKAHEKA: Mume amuua mke wake kisa mali za urithi za mume wa kwanza..

uaji

October 2o, 2016 Kupitia Leo Tena ya Clouds FM imekutana na story ya mwanaume mmoja kutoka Kiwalani jijini Dar es salaam inasemekana amemuua mke wake kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa mali za urithi za mume wa kwanza wa mwanamke aliyeuawa. Inaelezwa kwamba wanandoa hao walikua na ugomvi wa mara kwa mara na imetokea mara […]

The post HEKAHEKA: Mume amuua mke wake kisa mali za urithi za mume wa kwanza.. appeared first on millardayo.com.

 

3 months ago

Malunde

AMUUA MAMA YAKE MZAZI KWA KUMKATA PANGA BAADA YA KUAMBIWA ANAMROGA


Kijana mmoja aitwae Shazili Saidi Mkuchi mkazi wa Mtwara mwenye umri wa miaka 26, anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi Bi. Amina Chuwalila kwa kumkata na panga.

Akiongea na mwandishi wa habari kaka wa mtuhumiwa ambaye pia ni mtoto mkubwa wa marehemu anayejulikana kwa jina la Rashidi Saidi Mkuchi, amesema mdogo wake huyo amefanya tukio hilo baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji kuwa mama yake na kaka yake ndiye anayemroga, na kuamua kumfuata shambani alikokuwa na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani